deni la taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hitimisho langu! Kwa nilivyomsikia Lissu jana na nilivyomsikia Samia leo, Acha tu nchi izidi kuwa masikini na deni la taifa lizidi kuongezeka

    Kwa nilivyomsikia Tundu Lissu jana akitema madini kwa ufasaha wa hali ya juu na akili iliyotulia bila hata papara huku akiwa anaishi na kuteswa Gerezani na namna nilivyomsikia Rais Samia leo akimsema vibaya mbunge wa CCM Luhaga mpina kwa namna alivyosimama kutetea maslahi ya wananchi wake...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Kama unalipa deni na kukopa lazima litakua linapungu ,kwa nini deni la Taifa linapaa bila kupungua, tupeni majibu

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu wanajf popote mlipo . Leo sina mengi wakuu ,ila nataka majibu toka kwenu. Deni la Taifa leo ni T 100 plus ,ila yule mnafiki anasema kama watz tusiwe na wasiwasi. Why tusiwe na wasiwasi wakati walipa deni ni sie wananchi kupitia kodi zetu? Wasiwasi kwanza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

    Hii inaleta tafsiri gani? Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa. Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu. Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
  4. sammosses

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefura hakuna Mtanzania atakeyegongewa mlango kulilipa

    Takribani miaka minne toka Rais mrithi wa awamu ya tano B apokee kijiti baada ya kifo cha aliyekuwa Rais na mtawala wa Tanzania John Pombe Magufuli. Kipindi cha miaka minne ya mwisho ya Awamu ya Tano B chini ya Rais aliyepatikana kwa mujibu wa katiba,tumeona mambo mengi makubwa...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la Taifa limeongezeka kwa 50%. Aisee Kazi tunayo

    Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana. Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki...
  6. PSPA Pundit

    JamiiForums Tanzania Wafahamu "Economic Hitmen" na jinsi wanavyoharibu Uchumi wa nchi

    Kuna watu wanaitwa 'ECONOMIC HITMEN". Hawa ni wataalamu wa uchumi wa mataifa ya Ulaya, Uarabuni, na Taifa la Marekani ambao kazi yao Pekee ni kujenga urafiki wa karibu na Marais na watawala wa nchi za Africa na America ya Kusini. Baada ya kujenga urafiki na ukaribu na Marais pamoja na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sabubu za kuongezeka deni la taifa

    Kwa thamini yangu haya ndo mambo yanayapelekea deni la taifa liwe kubwa. 1. Ukosefu wa ueledi wa viongozi wetu. Maana viongozi wengi Wana upeo ndogo kwenye maswala ya kiuchumi. 2.Rushwa imekishamili sana kwenye Sekta mbalimbali za serikali hakuna mradi wa serikali ambapo unafanyika bila Rushwa...
  8. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa (Tanganyika na Zanzibar)

    Habari watanzania wenzangu, Jioni ya leo ningependa tujadili suala hili la deni letu kwa heshima,unyenyekevu,busara na hekima tulizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu (mwingi wa rehma mwenye kurehemu). Kwanza napenda kuipongeza serikali yetu kwa kuliweka wazi kwetu sote. USHAURI WANGU. 1. Uandaliwe...
  9. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bajeti Kuu, mmesikia tu deni la Taifa na ufafanuzi wa bajeti ya Tr 56?

    Habari za mchana. Leo nimepata nafasi ya kusikiliza hotuba ya bajeti toka kwa Waziri. Pamoja na deni la Taifa kuendelea kukua, hii itupe ishara kwamba tunaenda uelekeo usio sahihi. Sijui ni kwa nini wananchi huku chini wanasononeka ila wakubwa huko juu wako kimya. Kubwa ninalotaka kulisemea...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe wazi deni la Taifa, waziri atoe orodha ya waliotukopesha na kiasi walichotukopesha na muda wa kulipa

    Watanzania wachache wanafuatilia kuhusu deni la Taifa na wamebaki na maswali mengi hasa deni hilo kupaa kutoka trilioni 50 hadi trilioni 107 kwa kipindi kifupi. Ni vizuri serikali kupitia waziri wa fedha Dkt. Mwigulu akatoa orodha inayoonyesha taasisi zilizotukopesha, kiasi cha mkopo kwa kila...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama anaupiga mwingi, deni la taifa amelipaisha hadi kufikia Tsh Trilioni 107

    Barabara , kajenga Mama Dpw kawaleta Mama Flyover.... mama Mwendokasi...mama Shirika la ndege la Zanzibar, Mama Watalii kuongezeka kwa wingi licha ya Tanapa kutokutoa gawio zuri kama inavyopambwa... ni Mama, sjui wanampiga tu huko, mi sijui Ngorongoro kote kule ni Mama Deni kalipaisha kwa...
  12. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania CCM mnachukia nini tukisema hii Tsh. Trilioni 107 ni Deni la Mama

    Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
  13. nyachina

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la deni la taifa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania

    DENI LA TAIFA Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu. Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni. Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH. Wakati JK anaingia...
  14. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mikopo ya Tanzania, Hayati Magufuli na Ndugai walikuwa mbele ya muda

    Tazama hii video ya Wazawa.
  15. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Liitwe deni la mama, na sio deni la taifa

    Kumekuwa na utamaduni wa kila pesa ya taifa inapotumika kwa maendeleo inasemwa ni pesa ambayo mama yetu ametoa kama fadhila kwa wananchi wake anaowapenda. Lakini pia umeonekana kuwa, kumbe sehemu kubwa ya hizo pesa ambazo mama yetu anazitoa huwa anakopa na mwisho hubakia kuwa deni la taifa...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tunaambiwa uchumi umekuwa na makusanyo ya mapato ya ndani yameongezeka sana, lakini deni la taifa limeongezeka maradufu. Deni litalipwaje sasa?

    Kuna vitu na mambo ukiyatafakari yanaumiza na kutia hasira mnoo. Hii nchi ina laana? Nini logic ya deni la taifa kuzidi kuongezeka kwa speed ya ajabu kuliko kipindi kingine chochote na wakati huo huo uwezo wetu wa kinchi kuwa na mapato na kukua kiuchumi ukielezwa kuwa juu kuliko kipindi kingine...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania anadaiwa takriban Tshs. Milioni 1.66 kutokana na deni la Taifa

    "Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika? Kufikia Machi 2025...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la 14.9%

    Kutoka kwa Prof. Kitila akiwa bungeni muda huu amesema, Hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa lilifikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni katika kipindi kama hicho mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 14.9. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Sababu ya deni la Taifa kukua kwa haraka sana miaka ya hivi karibuni

    Architect wa ukuaji wa haraka sana wa deni la Taifa mpaka navyoongea ni hayati John pombe Magufuli- alianzisha miradi mikubwa kama ya reli, na kununua ndege kwa kisingizio ni fedha zetu na sio mkopo ilihali ilikuwa ni mikopo
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Ukuaji wa deni la Taifa unatia shaka, Waziri Mwigulu haelezi matumizi ya mikopo, ana-concentrate muda mwingi kutafuta mikopo nje ya nchi

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kasi ya ukuaji wa deni la Taifa unatia shaka. Amedai mashaka hayo pia yanaletwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kufuatia kutopeleka Bungeni taarifa ya pesa za mikopo zilizopokelewa na namna zilivyotekeleza miradi. Ameongeza: "Deni la Serikali katika...
Back
Top Bottom