kulipa deni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Kenya yakabiliwa na changamoto ya madeni huku ukomo wa muda wa kulipa deni la bilioni 25 za IMF ukiwadia

    Kulingana na ripoti ya jukwaa la habari za biashara nchini Kenya, BusinessDaily, IMF ilifichua kuwa Kenya ni miongoni mwa wakusanyaji wakuu wa mapato yake kwani benki hiyo inapanga kupata takribani asilimia 2 ya mapato yake ya mkopo kutoka nchini Kenya. "Income kutoka Kenya inatabiriwa...
  2. BARD AI

    Serikali inapanga kutumia Tsh. Trilioni 12.10 kulipa Deni la Taifa, Mishahara Tsh. Trilioni 11.77

    Serikali imepanga kulipa kiasi hicho kutoka katika Makusanyo ya Tsh. Trilioni 47.42. Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Makusanyo hayo pia yatagharamia Miradi ya Maendeleo Tsh. Trilioni 15.32 na Shughuli nyingine za Serikali Tsh. Trilioni 8.22 Fedha za Maendeleo zitajumuisha...
  3. P

    Tanzania iliweza kulipa deni lake lote la IMF ifikapo tarehe 31 Desemba 2020, sasa tunadaiwa TZS 2 trilioni (USD 822 milioni) na IMF - kwanini?

    Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1984, Tanzania ilikuwa na salio la 0 (SIFURI) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Ni lini mkopo wa IMF ulilipwa kikamilifu na asilimia 100? Mkopo ulikuwa sifuri kufikia tarehe 31 Desemba 2020, ambao wengi wenu mnajua ni mwaka wa Covid-19. Unajua mkopo wetu...
  4. M

    Kenya: Ajiua baada ya kushindwa kulipa deni la 520000/=

    MWANAUME wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha Manyata katika Kaunti ya Murang’a, anadaiwa kujitoa uhai kwa ajili ya kukwepa deni la Ksh 30, 000 ambayo ni sawa na Sh 520, 000 za Tanzania ambalo linadaiwa kuwa ni rushwa kwa polisi wa Kituo cha Sabasaba. === Mwanaume wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha...
  5. R

    Viongozi wa Yanga hampo serious kweli imeshindikana kulipa deni la aliekua kocha wetu Luc Eymael

    Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA. Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya kupoteza muelekeo. Fanyeni hima mumlipe pesa zake aliekua kucha wetu Luc Eymael. Au ndio mmeshapoteza...
  6. co fm

    Kulipa deni ni mtihani

    Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia...
  7. Kitimoto

    Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

    BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Pesa za kununua mechi zipo, za kulipa deni hazipo?

    SAKATA LA MTIBWA DHIDI YA YANGA 🔋 Wakati Yanga wanakubaliana uhamisho wa Kinda Abou Msheri kutoka Mtibwa, walitaka kulipa ada ya uhamisho kwa mikupuo miwili (installments) 🔋Mtibwa walisema wazi kuwa wao wanachotaka ni pesa yote kamili kwakuwa hawana haraka nayo, Mtibwa ikaomba ipewe tarehe...
  9. Frumence M Kyauke

    Erick Omondi agoma kulipa deni baada ya kula uroda na kidosho

    Mcheshi Erick Omondi amekashifiwa kwa kula uroda na msichana katika hoteli moja jijini Nairobi halafu akakosa kutimiza ahadi ya kulipa binti huyo shilingi elfu ishirii na tano za Kenya. Akizungumza na chombo kimoja cha habari, msichana huyu almaarufu manzi wa TRM alisema kwamba alikutana na...
  10. tang'ana

    Hivi inawezekana ukamkopesha ex wako pesa na akakulipa kweli?

    Habari zenu wazee wenzangu? Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile. So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi...
  11. H

    Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

    Hivi karibuni, kuna taarifa zilizowekwa wazi kwenye baadi ya vyombo vya habari, juu ya mgawanyo wa mikopo ya nje, kati ya Tanzania bara na Zanzibar. Mkopo wa pesa ya Uviko 19, tunaambiwa Zanzibar ilipata 18%. Mkopo wa kutoka Japan, tunaambiwa Zanzibar imepata 30%. Mkataba wa Muungano kati ya...
  12. beth

    Mwigulu: Tutaendelea kukopa, deni ni himilivu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka" Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa...
  13. yello masai

    Ukikopa benki A na baadaye ukashindwa kulipa; Je, unaweza kufungua akaunti benki B bila kukatwa na mamlaka?

    Natumaini Jumapili inaenda vyema kwa kila mmoja wetu huko alipo. Kwa wale amabao haiendi vizuri poleni na zidisheni kumuomba Mungu. Waheshimiwa nina swali. Mtu kama ulikopa pesa benki "A" bila dhamana yoyote kwa kuwa ulikuwa unapokea mshahara kupitia benki hiyo, na bahati mbaya kutokana na...
Back
Top Bottom