Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano na urafiki wa muda mrefu kati ya Tanzania na Urusi, ukilenga...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake.
Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
Awataka wanaosuasua kukaza buti
Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi...
"Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John Magufuli ambaye alifanya jambo la kuamini Wanawake wana uwezo na akavunja miiko ya Mwanamke kutokuwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye urefu wa Kilomita 60 itajengwa kwa kiwango cha lami.
Mwenezi Makonda ambananisha Meneja huyo mara...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali, kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, kwa vitendo, kuboresha huduma za uchukuzi, usafiri na usafirishaji katika Ziwa Tanganyika, ambapo kufikia mwezi...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo amesimikwa Uchifu na Wazee wa Kabila la Wafipa mkoani Rukwa na kukabidhiwa mkuki na upinde na kuvalishwa mgolole, huku wakiomba wajengewe Makumbusho ya Kabila la Wafipa.
Tukio hilo liliongozwa na Chifu wa Kabila la Wafipa, Chifu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo leo Ijumaa Oktoba 6, 2023 amekagua Skimu ya Umwagiliaji ya Ugalla katika Kijiji cha Katambike, wilayani Mpanda, ili kuuwekea mpango wa kuukwamua, baada ya mradi huo kukwama tangu 2007.
Ndugu Chongolo amefanya ukaguzi wa...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahman Kinana, ameziagiza kamati za siasa za CCM, kuwafuatilia na kuwachukulia hatua wanachama walioanza kupitapita kusaka ubunge na udiwani.
Amesema wanaofanya hivyo wanakiuka kanuni, utaratibu na miongozo ya uchaguzi...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo amesema Tanzania ikiwa sehemu ya dunia, iko katika mapambano ya vita vya kiuchumi asubuhi, mchana na jioni, akiwataka Watanzania kuwa makini na watu wachache, katikati ya mapambano hayo, wenye dhamira ovu kwa nchi yetu, wanaotaka...
Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
I said this from the begin Kenyans are evil, They are doing this because they have no Land for grazing and the way we have promoted our tourism activities recently, But hey they have already failed
Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi
mbalimbali nchini Tanzania
Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Madini, Prof.
Shukrani Manya alipokuwa akifungua jukwaa la biashara na
Uwekezaji kati ya Tanzania na Italia lilifanyika Jijini Roma, Italia
leo.
Prof. Manya...
KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo.
Katika mafundisho ya Kanisa na kwa mtazamo wa Mt...
Ilisema huko na zamani na wa wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts,” kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyokuchukulia.
Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa...
Nataka haki itendeke kwa Mbowe kama ilivyo kwa wanadamu wengine, Kama ni Gaidi ahukumiwe kwa makosa yake haraka akapumnzike segerea. Kuhairisha kesi kunakosababishwa na mawakili wake hakumuondolei makosa ila kunamuumiza jamani
Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru wa kujieleza kwa kila raia wake bila tashishwi ili mradi tu, uhuru huo hauingilii, kuvunja kutweza na kufanya dhalili haki ya watu wengine kutumia uhuru wao kama ulivyotolewa na katiba yetu.
Ibara hiyo inatanabahisha wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.