..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake.
..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni.
https://www.youtube.com/watch?v=A7tp2deYb-w
..huyu Dada wa Chadema kwanza yuko very confident and composed.
..kitu cha ajabu ni kwamba maoni aliyokuwa akiyatoa Mwakilishi wa Bavicha yanafanana na yaliyotolewa na watoa maoni wengine kama CCT, na TEC. Tatizo limekuja baada ya maoni hayo kutolewa na Bavicha na Mwenyekiti akaanza kubishana...
Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026?
Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi.
Nadhani Watanganyika tusiwaige Wazanzibari kufanya chaguzi zote kwa wakati mmoja.
Nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na Zanzibar.
Watanzania sijui akili zetu zikoje.
Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu?
Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu.
Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo, bali ni kwa miaka kadhaa.
Tanzania kama nchi hatushindwi kupata kiasi hicho cha fedha.
Hata...
..CCM walitoa tangu kwamba wanakubali mchakato wa Katiba Mpya uanze.
..Lakini tangu chama kitoe tamko hilo sijawasikia makada wa CCM wakitoa maoni au mapendekezo kuhusu nini wanachokitaka ktk Katiba Mpya.
..Ukimya huu wa CCM unaashiria nini?
..Lissu amefanya jambo kubwa sana kuitembelea familia ya Balozi Kasanga Tumbo.
..sijui ni wangapi wanajua Balozi Christopher Kasanga Tumbo ni nani.
..Na kwanini Tundu Lissu ameamua kutembelea mahali alipozikwa Kasanga Tumbo.
Prof. Kitila Mkumbo anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.
..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa.
..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
Wakili Mwanaharakati Prof. Wajackoya amesema ametumwa na Mzee Raila Odinga kuwaomba msamaha Chadema.
Mtakumbuka Raila Odinga alikuwa rafiki mkubwa wa Chadema, lakini urafiki huo uliingia mushkel wakati wa utawala wa awamu ya 5.
Mzee Raila Odinga alifumba macho na masikio wakati rafiki zake wa...
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake.
Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.
Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.
Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya...
..ni mahojiano na Dar24.
Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
Nadhani wengi mmesikia kuhusu tukio la Lissu kutekwa akiwa nje ya Ubalozi baada ya uchaguzi mkuu.
Sasa Naibu Balozi wa Ujerumani aliyemchomoa Lissu toka kwa watekaji wake ni huyo anayeonekana ktk video.
Je, bila huyu Mama nini kingemtokea Tundu Lissu? Je, tungekuwa naye leo hii?
Unaweza...
Lambert alimuuliza Lissu swali la kushtukiza kuhusu msimamo wake kuhusiana na vita ya Drc na Ukraine kama angebahatika kuwa Raisi.
Lissu alijibu kwa kifupi kuhusu Drc kwamba suluhisho ni kuunganisha nguvu za nchi majirani ili kupata amani nchini humo.
Kuhusu vita vya Ukraine Lissu aliibua hoja...
Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D.
Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana.
Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.
..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama.
..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi inavyochangiwa na utawala mbaya wa Ccm.
Mwisho amewataka wananchi wa Tanga kukataa mkoa wao kuwa kama "shamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.