Huyu uwezo kichwani hamna anabebwa na Jina la Mzee wake. Wao ni Wazuri hawafi, lkn cha ajabu wanaendelea kugombana na Kivuli cha mfu JPM.
Yeye aseme tu , Urais hatokaa kuupata.Naomba nisimuwekee maneno Makamba.
Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Stieggler Ile pale 2225MW - tunaweza kusahau kabisa shida ya umeme tukitumia akili.
Tanzania ya viwanda na kuhamasisha uwekezaji wa viwanda - Sasa hivi wote tumerudi kwenye uchuuzi.
Daraja la juu pale busisi - Mwanza.
Ujenzi wa reli ya kisasa Dar - Mwanza.
Kuifanya shillingi kuwa stable - Sasa hivi shillingi Kila siku inayumba.
Kuleta nidhamu ya utendaji serikali.
Kulifufua shirika la ndege lililokufa.
Kuboresha usafiri ziwa Victoria.
Kufanya watu waiogope na kuiheshimu dola.
Ujenzi wa miundombinu Kila Kona ya nchi.
Ujenzi wa masoko ya kisasa maeneo mbalimbali.
Ujenzi wa hospitali za rufaa Kila mkoa.
Kuboresha huduma za afya Kwa kununua vifaa vya kisasa (VP MRI nzima pale Muhimbili?).
Kujenga smelter ya Dhahabu pale Mwanza.
BOT kuanza kununua dhahabu na kuweka reserve ( Vipi ile reserve bado IPO?).
Kudhibiti utoroshwaji wa madini.
Kuruhusu wachimbaji wadogo wadogo kupewa maeneo na kuchimba ( Sasa magiants wameanza kuhodhi maeneo na kufanya udalali Kwa Wazungu na wachina).
Kudhibiti matumizi ya hovyo ya serikali ( watu wanapishana angani tu Sasa hivi, na mijengo wananunua).
HAYO YOTE NDANI YA MIAKA SITA.
HATUTAKI BLAH BLAH TUNATAKA MATOKEO CHANYA.
Umemaliza mkuu,japo flaws zilikuwepo pia,mama alipaswa kuchange from good to a better,yeye amefanya otherwise.Stieggler Ile pale 2225MW - tunaweza kusahau kabisa shida ya umeme tukitumia akili.
Tanzania ya viwanda na kuhamasisha uwekezaji wa viwanda - Sasa hivi wote tumerudi kwenye uchuuzi.
Daraja la juu pale busisi - Mwanza.
Ujenzi wa reli ya kisasa Dar - Mwanza.
Kuifanya shillingi kuwa stable - Sasa hivi shillingi Kila siku inayumba.
Kuleta nidhamu ya utendaji serikali.
Kulifufua shirika la ndege lililokufa.
Kuboresha usafiri ziwa Victoria.
Kufanya watu waiogope na kuiheshimu dola.
Ujenzi wa miundombinu Kila Kona ya nchi.
Ujenzi wa masoko ya kisasa maeneo mbalimbali.
Ujenzi wa hospitali za rufaa Kila mkoa.
Kuboresha huduma za afya Kwa kununua vifaa vya kisasa (VP MRI nzima pale Muhimbili?).
Kujenga smelter ya Dhahabu pale Mwanza.
BOT kuanza kununua dhahabu na kuweka reserve ( Vipi ile reserve bado IPO?).
Kudhibiti utoroshwaji wa madini.
Kuruhusu wachimbaji wadogo wadogo kupewa maeneo na kuchimba ( Sasa magiants wameanza kuhodhi maeneo na kufanya udalali Kwa Wazungu na wachina).
Kudhibiti matumizi ya hovyo ya serikali ( watu wanapishana angani tu Sasa hivi, na mijengo wananunua).
HAYO YOTE NDANI YA MIAKA SITA.
HATUTAKI BLAH BLAH TUNATAKA MATOKEO CHANYA.
Mtakiri kila uovu mlioufanya gizaniWabobezi wa Fikra watatafsiri kuwa mbele za Mungu wa Mbinguni Magufuli hakuwa Rais halali na Wabunge wote siyo halali na Madiwani siyo hali
Kiroho jambo hili si Mzaha 🐼
Walipaswa kwanza kutuomba radhi Watanzania wote!Naomba nisimuwekee maneno Makamba.
Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.