Wakili Mwanaharakati Prof. Wajackoya amesema ametumwa na Mzee Raila Odinga kuwaomba msamaha Chadema.
Mtakumbuka Raila Odinga alikuwa rafiki mkubwa wa Chadema, lakini urafiki huo uliingia mushkel wakati wa utawala wa awamu ya 5.
Mzee Raila Odinga alifumba macho na masikio wakati rafiki zake wa Chadema wakipita ktk bonde la uvuli wa mauti wakati wa utawala wa JPM.
Msikilize Prof. Wajackoya akiwasilisha ujumbe wa Mzee Raila kuwaomba msamaha wana-Chadema ktk mkutano wa kumkaribisha nyumbani Mh. Godbless Lema.