Charles Kimei: Vunjo tunaanza upya. Katika awamu ya 5 kulikuwa hakuna ushirikiano na Serikali. Mrema na Mbatia hakuwaleta maendeleo Vunjo

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
..ni mahojiano na Dar24.

Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.

Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.

Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.

Hii kuanza upya kila baada ya miaka mitano au kumi ndio maana hatuendelei wala hatuna long term plans....

Inabidi sio kuanza upya bali kuendeleza tulichokianza hapo zamani...

If I have seen Further than others... is by standing on the Shoulders of the Giants...., Alisema mtu mwenye busara hapo kale....

Maendeleo huja kwa kuendeleza kile walichokianza wengine na sio kubeza na kuanza upya kila leo...
 
..Dr.Kimei anasema jimbo la Vunjo lilikuwa na hali mbaya sana.

..maana yake ni kwamba hakuna kitu cha kuendeleza kilichoachwa na watangulizi wake.

..pia anasema wakati wa Jpm Vunjo ilikosa ushirikiano na serikali.
 
..ni mahojiano na Dar24.

..Dk.Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.

..lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dr.Kimei pia ameituhumu serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.

..nadhani Dr.Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.

Hujazijua tu tabia za wanasiasa wa Tz ?
 
..Dr.Kimei anasema jimbo la Vunjo lilikuwa na hali mbaya sana.

..maana yake ni kwamba hakuna kitu cha kuendeleza kilichoachwa na watangulizi wake.

..pia anasema wakati wa Jpm Vunjo ilikosa ushirikiano na serikali.
Naam na atakayekuja mwanasiasa mwingine atasema waliotoka hawakufanya kitu mimi ndio naanza kufanya kitu... Yaani Siasa zilizopo duniani sasa ni siasa za attack and defend na sio za ushirikiano wa kimaendeleo; waliopo wanatumia muda mwingi kujitetea ili waendelee kubaki na ambao hawapo muda mwingi ku-attack waliopo ili wao ndio waingie kundini...

Sijaongelea alichosema per-se kuhusu vunjo nimeongelea alichosema kuhusu kuanza upya; kama Sehemu inakuwa / itakuwa na long term plans za kufanya hiki na kile na aliyepo ni kutekeleza kufanya hicho au kile kutakuwa hakuna kupiga hatua moja mbili na mbili nyuma...

Na haya sio Bongo tu ni world over..., Mambo aliyofanya Obama akija Trump anapangua akija Biden anapangua ya Trump akirudi Trump anapangua ya Biden; chochote anachosema Democrat; Republican anapinga na viceversa ; mwisho wa siku nothing gets done.... Its sad but true
 
..ni mahojiano na Dar24.

..Dk.Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.

..lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dr.Kimei pia ameituhumu serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.

..nadhani Dr.Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.

Washamtengeneza kwamba anaweza kumrithi Mwigulu
 
..ni mahojiano na Dar24.

..Dk.Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.

..lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dr.Kimei pia ameituhumu serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.

..nadhani Dr.Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.

Hichi kipeperushi cha mtandaoni kimekosea kwa kutumia rangi za benk ya Crdb. Japo JamiiForums hamna uwezo kwenye kudhibiti maudhui ya 3rd part lakini kwenye hili mnaweza kufanya jambo la hekima ili kuilinda nembo ya benki ya Crdb ambayo kwa namna yoyote ile haihusiki na maudhui yanayoongelewa kwenye video hii.
Mhariri
 
Kimei kachoka kifikra. Siasa ni sayansi ambayo Kimei hana hata chembe.

..haeleweki anasimamia wapi.

..Je, Vunjo imekosa maendeleo kwasababu Mrema na Mbatia hawakuwa na nia njema?

..Je, Vunjo imekosa maendeleo kwasababu serikali ya awamu ya 5 ililitenga jimbo la hilo?
 
Kimei alijivunjia heshima sana kuja kwenye hizi siasa uchwara za propaganda
Angeweza kwenda kwenye taasisi binafsi au kushirikiana ba serikali kwa namna nyingine kuleta maendeleo kuliko kuingia moja kwa moja kwenye hizi siasa chafu
 
..ni mahojiano na Dar24.

..Dk.Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.

..lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dr.Kimei pia ameituhumu serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.

..nadhani Dr.Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.

Maisha bhana ! huyu jamaa alitegemea eti awe waziri wa fedha , mwishowe kaishia kuwa Mgonga meza tu bungeni

Shetani hana rafiki
 
..haeleweki anasimamia wapi.

..Je, Vunjo imekosa maendeleo kwasababu Mrema na Mbatia hawakuwa na nia njema?

..Je, Vunjo imekosa maendeleo kwasababu serikali ya awamu ya 5 ililitenga jimbo la hilo?
MBONA MAELEZO YANAELEWEKA.
Kwa lugha nyepesi: Yeye Kimei, Mrema na mbatia hawajafanya kitu vunjo. Yaani miaka yote wamekula posho za bunge, mishahara na marupurupu kwa mambo tofauti kabisa na yale yanayoihusu Vunjo na wananchi wake.

Halafu Yeye akajitetea sababu ya kutokufanya kitu.
 
Mbatia alukuwa na kampeni ya jenga barabara ya vitongoji huko vunjo. Sasa hutu ataenda kuanza upya na kipi au kuendeleza hii, au...
 
..anawatuhumu wenzake wabunge wa upinzani kwamba walikuwa wanagomea au hawahudhurii vikao vya BAJETI.

..pia amezungumzia dhana ya " mafiga matatu " inayohalalisha jimbo kutengwa na chama tawala ikiwa litachagua mbunge toka upinzani.

..Yaani kwa mtizamo Dr.Kimei majimbo yaliyochagua Ccm yana haki zaidi kulinganisha na yaliyochagua upinzani.
 
Ukimbishia Kimei hakikisha una facts ..... kumbuka ni Phd holder... tena wa Economics halafu ni CEO mstaafu wa benki kubwa hapa nchini...

Ukimbishia hakikisha una akili kuliko yeye...

Ameongea facts na namuunga mkono
 
Back
Top Bottom