kuotesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JokaKuu

    Mtaalam atoa elimu ya kuotesha miche ya michungwa

    ..Mtaalamu anaeleza hatua kwa hatua namna bora ya kuotesha miche ya Michungwa. ..Nadhani maarifa haya ni nadra kuyapata kwingine.
  2. M

    Upasuaji wa urembo kuotesha Nywele kwenye Kipara wafanyika Muhimbili

    Watalaam wa upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini Marekani wamekamilisha kambi maalum ya siku tano iliyohusisha upasuaji wa urembo na upasuaji wa matibabu (Cosmetic and Reconstructive Surgery) kwa wagonjwa nane. Akizungumza wakati wa kuhitimisha...
  3. C

    Tenda za miche ya miti

    Habari wanajamii, Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani. Idadi ya miche inayohitajika ni takriban 5250 yenye urefu wa angalau futi moja. Supplier aliye na utayari awasilishe ofa ya...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

    Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
  5. M

    Simba jiandaeni kuotesha kichaka kingine cha kujifichia dhidi ya Yanga

    Imekuwa wimbo na ngonjera zinazoimbwa na mashabiki wa Simba kila mara Yanga inapofanya vizuri dhidi yao au michuano ya ndani ya kwamba, Yanga haiwezi michuano ya kimataifa na wao wamewekeza uko. Sasa ni dhahiri shahiri kichaka hicho kinaanza kufyekwa taratibu na kitafyekwa kabisa siku siyo...
  6. Uhakika Bro

    Angalizo: Mafuta ya kuotesha nywele na mafuta ya kuotesha ndevu ni vitu viwili tofauti

    Baada ya kutumia muda mwingi kutafiti [kigooglegoole] masuala ya nywele na upara na mambo yanayohusiana na hayo, basi leo nimehamishia udadisi wangu JF. Katika kupitiapitia baadhi ya nyuzi nimegundua kuna watu hasa kwa kutojua wamekuwa wakishauri vitu kuhusiana na upara katika namna...
  7. Biz TV

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti dawa

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti Dawa. "Nimewapa maelekezo NIMR, Nataka kuona Mashamba ya miti Dawa nchi nzima, kwa kuangalia upatikanaji wa hizo dawa. Kwasababu hizi dawa zimetusaidia na zimetutibu" Alisema Waziri Ummy. Aidha Waziri Ummy...
  8. Sky Eclat

    Kwa mnaoishi Mijini mnaweza kuotesha Tikiti Maji barazani

    Unatakiwa utafute miti ya kubeba matawi pia. Tafuta karai chakavu, weka udongo na mbolea. Unaweza kuotesha mchicha na nyanya .
Back
Top Bottom