John Mnyika atiwa msukosuko na Kamati ya Bunge. Nyaraka za mapendekezo yake zakaguliwa kabla ya kuwasilishwa. Baadhi ya nyaraka zimezuiliwa!

Viongozi wa Chadema mngeachia ngazi. Ni wazi CCM wanawadharau na hamna cha kuwafanya sababu hamna hata nguvu ya kuitisha maandamano . Hatuwezi kuwa na chama kikuu cha upinzani sifa yake kuu nikulalamika na kuonewa bila kurudisha mapigo kwa mtesi wake.

..CCM ndio wamewashindwa Chadema.

..Hawana uwezo wa kushindana nao kwa hoja.

..siasa ni hoja vs hoja. Na CCM uwezo hawana.
 
..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake.

..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni.


View: https://www.youtube.com/watch?v=A7tp2deYb-w

Hivi yote haya Kwa faida ya nani? Kwakweli watanzania tuwe serious, Katiba na uchaguzi huru ni Kwa faida ya nchi...Hawa watu wachache kwanini wanaturudisha kwenye ukoloni ambao tulishauacha?
 
Siasa ni hoja pale play field inapokuwa fair. Chadema inahitaji viongozi wanaoweza kushawishi wananchi kuingia barabarani kudai katiba na sheria nzuri za uchaguzi.

..fuatilia mkutano wowote ule ambao CCM, Serikali, na Chadema, wanahudhuria.

..halafu angalia anaposimama mchangiaji wa Chadema hali inakuwaje ukumbuni.

..serikali na CCM huwa wanaandaa watu wa kuhakikisha Chadema hawachangii na kuwasilisha maoni yao kwa uhuru.

..angalia video hizo mbili hapo chini.



View: https://www.youtube.com/watch?v=hM7E_cVAp6Q



View: https://www.youtube.com/watch?v=ZhpccaEuUcY
 
Back
Top Bottom