shamba la bibi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwizukulu mgikuru

    Waziri Mchengerwa kazia hapo hapo, TAMISEMi ni shamba la bibi

    Waziri wa TAMISEMI endelea kuwatimua watumishi wa ovyo, hiyo Tamisemi ni shamba la bibi, imekuwa ni kawaida kwamba bila kutoa chochote hupati chochote, uhamisho kwa mtumishi ilikuwa ni suala na haki ya mtumishi lakini leo bila kutoa chochote mtumishi kuhama kutoka kituo kimoja kwenda kituo...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Wazalendo Kama Dk Slaa wakitoweka taifa letu litaibiwa kama shamba la bibi. Leo wapo wapigaji wanalazimisha na kuwaona Watanzania Mapopoma

    Nani asiyependa uwekezaji wenye tija manufaa kwa taifa lake? Nikiwahi kuandika humu. Sisi kama Taifa hatuwezi kununua cranes za kisasa kuweza kushusha mizigo kwa wakati na kuongeza ufanisi wa bandari yetu? Kwa nini iwe ni Dp world na Mkataba usiofaa hata kununulia gari bovu? Taifa hili...
  3. Q

    Tanzania imekuwa kama shamba la bibi kila mtu anajichumia anaenda zake

    Tuliuza Loliondo kwa mwarabu. Tumeuza gesi ya Mtwara kwa wazungu, mabomba yanaelekea Ulaya, by d’r. Slaa. Tumewafukuza wamasai wa Loliondo tukampa mwarabu. Tumeuza wanyama wetu Dubai sasa huko kuna artificial forest inaitwa Sharjah Safari Park ina kila mnyama mkubwa unayemuona mbugani...
  4. M

    Shamba la bibi

    Nasema hivi: - Siasa za Tanzania leo, hakuna Kiongozi wala Mwanasiasa hata mmoja anayeweza diriki kumkosoa rais Samia na serikali yake hadharani na bila kumung'unya maneno kwa sababu moja tu - Kila mmoja wao leo anakula kwa urefu wa kamba yake. Ndiyo, nimesema na anayebisha anitajie japo mmoja...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake msikubali Kugeuzwa shamba la Bibi!

    WANAWAKE MSIKUBALI KUGEUZWA SHAMBA LA BIBI! Anaandika, Robert Heriel Tuwaelimishe binti, Dada na Mama zetu ingawaje tunajua hakuna kazi ngumu kama kumuelimisha Mwanamke hasa katika kumwambia ukweli, kwani siku zote ukweli unauma. Wanawake wengi hawapendi ukweli Kwa sababu hawapendi kuumia...
  6. JokaKuu

    Mbowe: Ccm imeufanya mkoa wa Tanga kuwa kama shamba la bibi.

    ..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama. ..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi inavyochangiwa na utawala mbaya wa Ccm. Mwisho amewataka wananchi wa Tanga kukataa mkoa wao kuwa kama "shamba...
  7. B

    Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?

    Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo: 1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya. 2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
  8. B

    Aibu! Boda ya Rusumo Mgeni haingii nchini bila rushwa

    Tusipoyaandika au kuyapigia kelele vilivyo, mama aliye busy na kuifungua nchi atayasikia vipi na hasa kama wenye dhamana ni sehemu ya mchezo wenyewe? Baada ya kuyasikia nilijivinjari kufika mpakani Rusumo kujiridhisha. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu: Mgeni haingii nchini bila kutoa rushwa...
  9. Linguistic

    CWT ni Shamba la Bibi, kila anayepata nafasi anavuna atakavyo, Seif (Katibu Mkuu) na Allawi (Mweka Hazina) ni kielelezo sahihi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Walimu nchini Tanzania (CWT), Deus Seif na Mwekahazina wa chama hicho, Abubakari Allawi, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kupatikana na hatia ya kutumia madaraka yao vibaya kwa kuchepusha Sh 13.9milioni mali ya CWT. Hukumu hiyo ilosomwa week iliyopita...
  10. Kiboko ya Jiwe

    Je, tatizo ni uwezo mdogo wa VIONGOZI wetu au wameamua tu kuigeuza nchi kuwa shamba la bibi?

    Habari! Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu. Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au...
  11. E

    Shabiby mlinzi wa shamba la bibi anayehangaishwa na ngedere

    Nimekuwa mfuatiliaji wa michango ya huyu mheshimiwa shabiby kule bungeni, nimefurahishwa na namna anavyotetea rasilimali za taifa dhidi ya uhuni uliopachikwa jina la kufungua milango. Mwanzoni nilijua huyu jamaa ni mchuuzi na mpiga deal wa mjini, aisee kumbe sikujua kuwa ni mtu makini na...
  12. Elitwege

    Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

    Mbunge aliyejawa na hoja zenye mashiko kwa taifa letu Mh Shabiby amehoji utaratibu unaotumiwa na serikali ya awamu ya 6 kufungua nchi kwani unaelekea kuigeuza Tanzania kuwa shamba la bibi kwa kila mgeni kufanya anavyotaka. Bwana Shabiby amesema sasa hivi wageni hasa wachina wameruhusiwa kuingia...
  13. Pascal Mayalla

    Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
  14. Idugunde

    Huu ni wakati wa Watanzania kudai katiba mpya, wasipodai taifa lao litaibiwa kama shamba la bibi.

    Katiba mpya itazuia mapungufu ya kila aina ambayo yanasabisha hili taifa kuibiwa na kuporwa kama shamba la bibi. Katiba mpya itawapa wananchi nguvu ya kuzuia, kurekekebisha na kukataa uovu wa kila namna ndani ya taifa lao. Mfano kukaataa na kupinga utawala unaokumbatia ufisadi kwa kuzuia au...
  15. waziri2020

    Vigogo halmashauri ya Siha wadaiwa “kutafuna “mil 140 ,wadaiwa kuigeuza halmashuri shamba la Bibi.

    Vigogo halmashauri ya Siha wadaiwa kuchota milioni 140 fedha za makusanyo ya ndani. *Wadaiwa kuigeuza halmashauri “shamba la bibi “ *Yumo mwanasheria,mhasibu,mkaguzi wa fedha za ndani pamoja na mtaalamu wa mfumo wa mashine za kukusanya mapato . Na,Mwandishi Maalumu SIRI mbalimbali za...
  16. S

    RAS Tanga soma hiyo, hii tabia ya kuifanya Tanga kama 'shamba la bibi' waache

    Ninakudokeza bosi kwamba viongozi wa hapo Tanga wakihamishwa kutoka huko walikotoka walikuja na watu wao (lugha ya sasa niseme chawa wao) Aliyekua RAS hapo alitokea Pangani na alikuja na kijana mmoja hivi anayeitwa Gibson ikawa yeye ndio ameshika hatamu ndani ya ofisi hiyo. Wengine wakimvisha...
Back
Top Bottom