Search results

  1. Tripo9

    Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  2. Tripo9

    Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini

    Naomba Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini. Natanguliza shukrani zangu
  3. Tripo9

    Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

    Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui. Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa. Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi...
  4. Tripo9

    Log in account yako ya Bodi ya Mikopo uone kama kuna makosa ya kurekebisha

    Uki log in account yako ya HESLB utaona kama kuna masahihisho yoyote unatakiwa kufanya. Mfano cheti cha kuzaliwa hakijawa verified Rita watakueleza verify then submit. Mpaka dakika hii bado hawajawezesha button ya Ku resubmit document uliyokosea wanasema mpaka wiki ya kwanza ya October ndio...
  5. Tripo9

    #COVID19 RC Kunenge aonesha wasiwasi dozi 15,000 za Uviko-19 ambazo hazijatumika zinaweza ku expire kama hazitatumika. Aweka mikakati ya kuhakikisha zinatumika

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema kuna chanjo 15,000 za Uviko-19 hazijatumika mkoani humo huku kukiwa na changamoto kwa kuwa baada ya mwezi mmoja kuanzia leo Jumamosi Septemba 25, 2021 zitafikia mwisho wa matumizi yake. Ameeleza kuwa mkoa umepata dozi 15,000 za chanjo ya...
  6. Tripo9

    Nahitaji mashelf used kwa ajili ya kajiduka kadogo

    Nahitaji mashelf used kwa ajili ya kajiduka kadogo tu. Mashelf ya mbao used namaanisha toka kwenye Duka lililofungwa labda. thanks.
  7. Tripo9

    Watu hawakomi Tu kugema mafuta kwa gari ilopinduka?

    Mungu atunusuru Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
  8. Tripo9

    Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  9. Tripo9

    Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

    1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka 2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana. 3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale Wanigeria pia. My take: Waseme tu pesa imekata. kwani walipoenda au kupanga kwenda huko hayo mambo...
  10. Tripo9

    Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kutype nichague tu

    Hii naamini ni settings tu Nataka Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kitype nichague tu Aina ya simu Redmi Nisaidieni.
  11. Tripo9

    Watoto niwapeleke wapi leo Eid wakatembee hapa Dar? Nimechoka na Coco Beach

    Eid Mubarak! Baada ya kuwanunulia nguo za Eid 😃sasa niwakati wa kutafuta sehemu ya kuwapeleka wanangu kutembea Leo hii siku ya Eid. Naombeni sehemu ya kwenda maana nimechoka kila siku Coco beach tu bhana. Asanteni
  12. Tripo9

    UFC 259: Israel Adesanya Vs Jan Błachowicz ni ya kukata na shoka, si ya kukosa

    Balaa la UFC 259 ni zito. Light heavy weight Jumapili tarehe 7th March 2021 Ikumbukwe Israel Adesanya kijana ambae ni mzaliwa wa Nigeria lakini anaishi NewZealand amepanda weight class na kuingia light heavyweight na hili ni pambano lake la Kwanza tangu apande na anakutana na bingwa huyu mahiri...
  13. Tripo9

    Ni wapi naweza kupata mahali kwa ajili ya mtoto kujifunza michezo?

    Mwanangu 6 yr old girl anapenda sana michezo. Shule zetu hizi za ku cremisha cremisha hawajali Sana michezo. Je, wapi nitaweza kuwa nampeleka mwanangu kucheza hasa hasa baada ya school hours maana yeye anatoka saa nane mchana. Tupo Tabata lakini nitajieni popote ndani ya Dar. Michezo iko...
  14. Tripo9

    Niko TRA Vingunguti hapa watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue

    Niko TRA Vingunguti hapa baadhi ya watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue Kwa nini sijawahi kushuhudia matukio isolated kama haya? Labda naweza react kitofauti. Adrenaline rush if you know what I mean.
  15. Tripo9

    EFD machine ni kwa ajili ya wafanyabiashara gani?

    Nina kaduka kangu sokoni. Nalipa kodi kama kawaida TRA kila mwaka. Mapato ya mwaka officially yanajulikana ni less than 4 million a year. Nauliza je na mimi natakiwa niwe na EFD MACHINE? Nimeingia website ya TRA sijaona jibu zaidi ya hii statement ..." These offences shall not apply to a...
  16. Tripo9

    Mechi ya kirafiki: Tanzania na Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo zimetoka sare ya kufungana 1 -1

    Pata updates za mechi hii ya friendly inayochezwa uwanja wa Taifa mapinduzi day 12/1/20121. === Both teams were using the game to prepare for the Chan competition to be held in Cameroon Tanzania and DR Congo settled to a 1-1 draw in an international friendly game played at the Benjamin Mkapa...
  17. Tripo9

    Jamani nataka nikawaone Simba uwanjani 6/Jan/2021. Napata wapi hizo tickets za ki digital?

    Jamani nataka nikawaone Simba uwanjani 6/Jan/2021. Napata wapi hizo tickets za ki digital?
  18. Tripo9

    Ni vipi vigezo vya kuwa wakala wa kukatisha tickets za kwenda kucheki mechi viwanjani?

    Kua wakala wa kukatisha tickets za kwenda kucheki mechi viwanjani nini vigezo na masharti. Nataka niwe wakala. Asantee
  19. Tripo9

    Chimbo la suti kali Kariakoo jamani. Kwa bei poa, nipendeze na mimi

    Nataka nika point kitu kikali, kitu cha suti kwa bei nzuri lakini. Chimbo gani Kariakoo waungwana?
  20. Tripo9

    Naomba kujuzwa jinsi ya kujua kama shule ya msingi imesajiliwa Wizarani

    Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali. Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
Back
Top Bottom