efd

EFD was an American payments services company. EFD provided financial service companies and other large enterprises with new account decisions, fraud detection and payment processing services. On June 27, 2007, Fidelity National Information Services, Inc. (FIS) announced that it was acquiring EFD in an all-cash transaction valued at about $1.8B. The target completion date for the acquisition was the 3rd quarter of 2007.

View More On Wikipedia.org
 1. Suley2019

  Arusha: Wahasibu mbaroni kwa kutoa risiti bandia za EFD za mapato ya Serikali

  Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mtumishi (Mhasibu) wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu huku likimsaka mwingine kwa tuhuma kuhujumu mapato ya Serikali kwa kutoa risiti bandia za EFD. Kulingana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu Juma Hokororo amesema watumishi hao...
 2. comte

  TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

  Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD. Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
 3. Roving Journalist

  Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za kutoa Risiti za Kielekroniki (EFD)

  Serikali imesema kuwa taratibu za kikodi zimebainisha kwamba, mfanyabiashara yeyote mwenye mauzo ghafi yenye kiasi cha shilingi milioni kumi na moja (TZS 11,000,000) na kuendelea kwa mwaka, anapaswa kutumia mashine za kutoa risiti za kielekroniki (EFD) kwa walipakodi wote wanaofanya biashara...
 4. J

  EFD kazi yake ni nini?

  Nimekuwa nasikia watu wakiongea EFD mara TRA wamepiga watu adhabu kuhusu EFD ila sina uelewa wa kutosha sababu mimi ni kweli nanunua bidhaa na kuna wakati napewa hizo risiti wanazosema za EFD na kuna wakati sipewi. Swali langu kwa TRA na wajuzi ni wakati gani hizo risiti zinatolewa na wakati...
 5. R

  Walking the talk of President Samia’s call on tax evasion and the use of efd machines

  In her recent address on IDD-EL-FITRI day, President Samia Suluhu Hassan delivered a compelling call to action for all Tanzanians. She implored citizens to actively engage in preventing the evasion of lawful taxes and underscored the significance of employing Electronic Fiscal Devices (EFD) for...
 6. Webabu

  TRA ifanye marekebisho matumizi ya mashine za EFD ili watu walipe kodi kwa furaha

  Matatizo ya mashine za EFD yapo ya aina nyingi tangu umiliki wake mpaka katika matumizi. Ukichunguza sana utagundua hizi mashine kama hazifanyi kazi ya kukushanya kodi peke yake bali na kumnyonya mfanyabishara. Hali hiyo ndiyo inayopelekea kufukuzana baina ya watumishi wa TRA na walipa kodi 1...
 7. M

  EFD receipt software/App

  Kuna group Moja la Whatapps nipo Kuna jamaa kutuma namba akisema anaprint EFD receipt online au anakuuzia software then una print mwenyewe kutumia cm Yako! Na zinasoma TRA kama zilizo printed na machine iliyokuwa registered TRA. Sijajua kama hichi kitu na sawa au Magumashi! Kama Kuna Mtaalamu...
 8. Makamura

  Ubadhirifu katika Risiti za EFD za TRA

  Hivi karibuni kumeibuka Hoja nyingi juu ya uhalali wa Risiti za EFD, kwa sasa EFD ndio risiti maalumu ya Bidhaa kuuza na kununua popote pale Nchini. Lakini risiti hizi zina utata kutokana na uhalali wake. TRA wana tovuti ya kuhakiki risiti hizi za EFD ambayo ni TRA RISITI lakini asilimia 80%...
 9. binkiko2

  TRA

  ENDAPO MTU AMEFUNGA BIASHARA MASHINE YA EFD ANAIPELEKA WAPI
 10. Esokoni

  Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako

  VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo...
 11. Mtogweche

  Nifahamisheni namna ya kupata EFD machine na gharama zake

  Habari, Naomba kuuliza namna ya kupata EFD machine na gharama zake Kwa bei nafuu
 12. comte

  TRA unahimiza matumizi ya EFD halafu mnawazimia wafanyabiashara kuzitumia kwa Ujumbe 'Device Blocked by TRA'

  Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu. Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
 13. Esokoni

  Attention! Wasafirishaji wa vifurushi vidogo kutoa risiti za EFD

  Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao. Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000...
 14. Analogia Malenga

  Machinga Kariakoo walalamika kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata EFD

  Mkuu wa Machinga eneo la Kariakoo, Steven Lusinde amesema zoezi la kuwapatia mashine za EFD wamachinga walioko maeneo ya Kariakoo linatekelezwa bila kuwashirikisha bali wamepewa taarifa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kuwa wanatakiwa kupewa mashine hizo za kikodi. "Niseme ukweli kwamba jambo hili...
 15. BARD AI

  TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
 16. M

  TRA kukamata mizogo kwa ajili ya Efd machine ni kuonesha udumavu wa fikra zetu

  Ukifika TRA unakuta na mizigo mingi sana kwa mfano TRA pale Longroom pamekua kama godwn la kuhifadhia mizigo,ukiangalia pale Kuna mizigo ya Congo,Rwanda,Burundi,Zimbabwe,Malawi,Zambia nk..ukiuliza wanakwambia hii ni mizigo tumeikamata haikua na Efd machine. Nikamuuliza mmoja wao je hii mizigo...
 17. B

  Upigaji kwenye EFD na mashine za kutolea risiti inazotaka TRA

  Nani asiyezijua mashine za EFD au hizi zinazotumiwa na jamaa wa parking au kwenye malipo mbalimbali? Mashine hizi sasa ni takwa la kisheria kwa wafanya biashara vinginevyo hakuna kufanya biashara. Uliza bei za hizo mashine. Si ajabu kusikia 600,000/- kwa moja na malipo lukuki ya mwezi kwa...
 18. Esokoni

  Ni nani anatakiwa kuwa na VFD/EFD?

  Karibu sana, kwanza kabisa Utaratibu wa kutumia Mashine za VFD/EFD ulianzishwa kwa lengo la kumrahisishia mfanyabiashara katika utunzaji wa kumbukumbu za mauzo/biashara za kila siku ili kuondoa usumbufu wakati wa ukadiriaji wa kodi (usikadiliwe kodi kubwa kuliko biashara yako au usikadiliwe...
 19. M

  EFD machine imeandika full FM. Naomba mwenye utaalamu anisaidie

  Niliiingia chaka nikajiunga na maximalipo kwa kununua machine yao na ku deposit 500000. Muda si mrefu kampuni imefilisika, hawapokei simu na wala sijui namna ya kupata pesa yangu. Wiki iliyopita EFD machine imeandika full FM na nilipomuuliza dealer akaniambai Fiscal memory imejaa huna jinsi...
 20. Crocodiletooth

  DOKEZO Ukwepaji kodi kupitia EFD ni mkubwa kweli mpaka nimeona uchungu Kariakoo leo

  Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that written here are not truly. N. B: TUJITAYARISHE KWA SENSA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 23 MWEZI HUU WA...
Back
Top Bottom