Jamani nataka nikawaone Simba uwanjani 6/Jan/2021. Napata wapi hizo tickets za ki digital?

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Jamani nataka nikawaone Simba uwanjani 6/Jan/2021. Napata wapi hizo tickets za ki digital?
 
Hivi simu yako inakusaidiaje kwenye inshu za taarifa mbalimbali?
Hajataka kwenda google, katika akaunti za mitandao ya kijamii za simba(FB, Twitter, Instagram)
Yeye kaamua tu moja kwa zoote kuja JF ni sawa pia, hata hapa hawezi kukosa 1,2, 3 japo hataokoa muda kama angekimbilia katika mitandao yao ya kijamii huko etc.
 
Wachangiaji wa huu uzi toeni majibu. Napata impression wengi mliochangia ni Utopolo
 
Nenda msimbazi uwezi kupata online bila kuwa na kadi kwakua huna kadi utapata tiketi kwa shilingi elfu 5 na kadi shilingi elfu 1 jumla utapata tiketi kwa shilingi elfu 6 iyo kadi itakusaidia kipindi kingine wakitangaza online...kama haujaelewa uliza
Sasa haya ndio majibu nlokua natafta.
Card naweza nisiipate sehemu nyingine zaidi ya pale msimbazi?
 
Kwenye vituo hawauzi kadi tupu au tiketi tupu kwaio vyote lazma upate kwa pamoja
So card ni msimbazi tu mkuu?
Unamaanisha vituo vingine nitapewa card na nilipie na ticket hapo hapo?! Shega tu kama ni ivo,. Maana card tupu ntaipeleka wapi.
Naomba nieleweshe.
 
So card ni msimbazi tu mkuu?
Unamaanisha vituo vingine nitapewa card na nilipie na ticket hapo hapo?! Shega tu kama ni ivo,. Maana card tupu ntaipeleka wapi.
Naomba nieleweshe.
Unapewa kadi na tiketi vituo vyote
 
Unataka ukawaone wanavyotia Taifa aibu?
Hawa ndiyo wanatia aibu Taifa
IMG-20200718-WA0002.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom