Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 3,803
- 2,000
Nina kaduka kangu sokoni. Nalipa kodi kama kawaida TRA kila mwaka.
Mapato ya mwaka officially yanajulikana ni less than 4 million a year.
Nauliza je na mimi natakiwa niwe na EFD MACHINE?
Nimeingia website ya TRA sijaona jibu zaidi ya hii statement ..." These offences shall not apply to a person who is exempted by any tax law to acquire or use an electronic fiscal device"... Sasa je Mimi niko exempted?