Watu hawakomi Tu kugema mafuta kwa gari ilopinduka?

Maisha magumu sana mtu haoni tofauti ya kuishi au kufa. Bora ajaribu kuishi.
 
Taifa bado ni masikini sana. Masikini anajitoa muhanga uhai wake akalishe familia
 
Wapi hii mkuu?
Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
 
Siku hizi ajali kama hiyo ikitokea kwanza wanaweka ulinzi endeo la betri!!! Kisha vyanzo vingine vya moto
 
Back
Top Bottom