Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama.

Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza.

Asanteni wakulungwa.
 
Wakati unaomba visa hukuulizwa utakapofikia? Barua ya mwaliko ulikuwa nayo? Saa nyingine acha kuota ukiwa macho.
 
August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama.

Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza.

Asanteni wakulungwa.
Manhattan down town, you know! RIP Boma Leee, Boma yoo
 
Tafuta kwenye mtandao sehemu zinaitwa "sleep station", ipo moja maarufu inatwa "Central park sleep station?. Hiyo ni cheap and best.

Pia nakushauri tafuta " Youth Hostels".

Uislam ni mwema sana, ukiwa Muislam unakwenda ofisi za Markaz Tabligh ya Tanzania wanakuunganisha na Markaz Tabligh ya New York, umefunga kazi. Salama, amani na official. Kwingine zinaitwa 'Jamaat Tabligh".
 
Back
Top Bottom