Hii sio kawaida!
Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee!
Youtube
Insta
Fb
Site za wakubwa(twice)
Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu)
.. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being...