Napata Shida Sana Kuona watu wanabishana na Wafuasi wa Chadema.
Huu ndio muda wao Wa kufurahii na Baada ya Tarehe 28 Ni Vilio vya kutosha maana hawataamini Kitachokeaa
Sasa Nyie Tulieni Walete update Hata za Malaika kuhudhuria Mikutuno ya Lissu , walete update za kujifariji na kujipa raha ndio Muda waoo Waacheni maana Wanaelekea ukingoni.
Dr Johne Magufuri Tunamwitaji sana na hatuwezi kumpoteza tutamtetea kwa gharama yoyote ile ili Abaki Madarakani Akaivushee nchii Ili watoto wetu waje kufaidikaaaa.
Na Mwisho NISEME. HATUWEZI KUKABIDHI NCHI KWA WAHUNI WASIOWEZA HATA KUJINGOZA KWA DEMOCRASIA NDANI YA CHAMA CHAO
WACHENI CHADEMA WAFURAHI NDIO MUDA WAO.