makontena

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Stendi Kuu na Vituo vya Makontena (ICD) vya Kimkakati kama Suluhisho la Kudumu la Msongamano Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi. Sababu kuu ya changamoto hii ni mfumo wa sasa wa miundombinu unaolazimisha mabasi mengi ya mikoani na...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Jangwani wageuzwa Yadi ya Makontena

    Katika pitapita zangu nyumbani kwenye albamu nikaja kukutana na hii picha ya UWANJA WA JANGWANI aisee nilipatwa na simanzi nzito nilipoona huu uwanja kwani kuna kumbukumbu ilinijia kipindi hicho natumwa na mmoja ya mabosi zangu kuja kuuza Ice cream na bei ya askilimu likuwa ni shilling 10...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jirani anatupigia kelele na ufundi wake wa makontena Mbezi Salasala

    Kero yangu ni jirani yangu kufanya eneo lake kuwa kiwanda cha kutengeneza nyumba za makontena ambazo zimekuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa eneo letu na tumesha jaribu kuwasiliana na uongozi wa mtaa wetu lakini hakuna wanacho tusaidia zaidi ya kupiga danadana. Tunapata kero ya makelele wakati...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa tunachokiona, tuhuma kuwa Abdul na mama yake waliingiza makontena ya silaha ni sahihi

    Kwa ushahidi wa video na picha zinazoibuliwa sasa juu ya mauaji ya kutisha yanayofanywa na Polisi, na kama alivyopata kuwahi kusema Dada wa Taifa Mange Kimambi, ni sahihi kuamini kuwa ni kweli Samuya na mwanae Abdul waliingiza makontena mengi ya silaha kwa ajili ya kuua watoto wa Tanganyika...
  5. pulex

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

    Watumishi wa Benki kuu Tanzania (BOT) wamempa taarifa Mange Kimambi kuwa kwa sasa Hazina hakuna pesa, wamegawana zote Samia na genge lake, hivyo kinachoendelea sasa ni wanachapisha pesa makontena kwa makontena (money printing) kwaajili ya kugharamia uchaguzi na kuzuia maandamano, kwenye...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Bandari kubwa ya makontena Marekani yalia na tariff za Trump

    Mashirika mengi ya kusafirisha mizigo yameanza kukatisha kuagiza na kupokea mizigo Marekani . Bandari ya Long Beach huko kusini ya California imesema kuendelea kwa vita vya kibiashara kutaiangusha bandari hiyo na hivyo kulazimika kuachisha kazi maelfu ya waajiriwa wa eneo hilo. Cargo ship...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ishu ya Adani kupewa kitengo cha makontena ndiyo iliyosababishwa Abdul Nondo atekwe?

    Connecting dots.. Kama kuna wanasiasa nchini walioisanua ishu ya ADANI kupewa kitengo cha makontena bandarini, basi ni Abdul Nondo. Wakati ule sisi tukiwa busy na ishu ya bandari (kubwa) waliyochukua DP World, huku nyuma serikali ya Bongo fasta fasta ilikuwa ikimsogeza ADANI Jikoni ili apewe...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imebariki majengo ya makazi Kariakoo kugeuzwa kuwa magodauni bubu ya kuhifadhi mizigo inayotoka kwenye makontena bandarini?

    Apartments nyingi za maghorofa ya kariakoo yamegeuzwa kuwa magodauni kwa ajili ya kuhifadhia mizigo ya makontena pindi inapotoka bandarini. Kunakuta Apartment moja inajazwa mzigo wa makontena 3 hadi 5 ya 40 ft. kitendo kinachopelekea uzito mkubwa juu ya maghorofa. Hizi apartment s zimesajiliwa...
  9. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kontena ya futi 20

    Habari wakuu? Hope wazima kabisa! Nina uhitaji wa kontena la futi 20, lenye hali nzuri, bajeti yangu ni tsh 500.000/= Laki tano! Ahssnteni!
  10. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ilikuaje Makontena 329 yakapotea bandari kavu ya Azam na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 12.6? Je, Nani alicheza huu mchezo?.

    UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015) To make a long story short, Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na kumuhoji Meneja wa TPA, (Abel Muhanga kwakipindi hiko), kuhusiana na tuhuma za ufisadi wa kupitisha...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

    2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini. Baadaye ukakana huyatambui. Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

    Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi. Je kanisa...
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Angola walitangaza zabuni na DP World ikashinda na sasa yasimamia kitengo cha makontena bandari ya Luanda

    Naam, ni DP World Luanda Port. Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic. Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

    Salaam Wakuu, Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam. Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu. Kwahiyo...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama unataka Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu, wahi kontena jipya, makontena yaliyotoka bandarini kuingia kariakoo heri utafute binti mtaani?

    Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya. Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
  16. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tangazo kwa umma: Utaratibu wa kuingiza makontena kwa kuchangia

  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ule uwanja wa makontena wa Qatar unaweza kufika nchini mapema kuliko tulivyodhani

    Mama kashamaliza hilo suala, Waqatar wamesema haina shida na walikuwa hawana mpango wa kuendelea kubaki nao. Maamuzi ya awali yanaonesha uwanja huo utafungwa Mwanza. Waziri wa michezo juzi alikuwa maeneo ya usagara kuangalia eneo utakapofungwa.
  18. W

    JamiiForums Tanzania TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa * Yadondosha makontena matatu baharini * Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
  19. Mjinga sana mimi

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya makontena yenye sebule, chumba cha kulala, ofisi ndogo, jiko, choo na bafu inahitaji makoñtena mangapi?

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavosema nahitaji kujenga nyumba ya kontena yenye sebule, chumba cha kulala, jiko, ofisi, choo na bafu. Je, kwa idadi ya hivo vyumba nahitaji makontena mangapi na ningependa kujua gharama za kontena moja? Asanteni!!!
  20. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge na Mkurugenzi wa Fedha wa zamani, Khadija Makontena afariki dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba, familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mkurugenzi...
Back
Top Bottom