dkt. faustine ndugulile

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

    Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao. Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu...
  2. PendoLyimo

    Ndugulile aitaka Serikali kuondoa Tozo za Daraja la Nyerere (Kigamboni)

    Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha. Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni na badala yake Serikali ibebe mzigo wa deni la mkopo wa NSSF. Ndugulile ameyasema haya leo...
  3. mshale21

    Dk. Ndugulile: Hongera sana Dkt. Ashatu Kijaji kwa kuteuliwa. Kazi Iendelee”

    Juzi, Rais Samia alifanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri kwa kutengua uteuzi wa mawaziri watatu akiwamo Ndugulile na kuteua wapya wanne ambao ni Dk Ashatu Kijaji, Dk Stergomena Tax, January Makamba na Profesa Makame Mbarawa. Ndugulile uteuzi wake ulienguliwa na nafasi yake...
  4. Analogia Malenga

    Kumchamba mtu kwenye ukurasa wa Instagram ni kosa kisheria - Dkt. Ndugulile

    Dkt Faustine Ndugulile ametoa ushauri kwa wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri, na kuepuka makosa ya mtandao. Amesema kuwa na bifu na mtu mtaani halafu kutumia ukurasa wa Instagram kumchamba ni kosa kisheria. Aidha kumkashifu mtu mtandaoni ni kosa. Amesema hata kama mtu atatumia jina...
  5. Analogia Malenga

    Dkt. Ndugulile: Usiweke alama ya vidole zaidi ya mara moja unaposajili laini

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa wito kwa wananchi kutoweka alama za vidole zaidi ya mara moja wanapokuwa wanasajili laini ili kuepuka kumsajilia mtu mwingine ambaye ana nia ovu. Aidha amesema watatoa muda maalumu kwa kila mwananchi kuhakikisha namba...
  6. T

    Tumuhamishe Wizara Dkt. Ndugulile kwa sababu hakuna innovation yoyote anayoifanya

    Na Thadei Ole Mushi Serikali inaandaa sheria maalumu ya mtu kuwa na laini moja ya simu kutoka kampuni moja ikiwa ni njia ya kulinda faraga za watu inayolenga kudhibiti wahalifu mtandaoni. Bado naona Kuna tatizo kwa Wizara yetu ya Technolojia ambayo ni Wizara Mpya kabisa. Tatizo kubwa hawa...
  7. J

    Serikali kutangaza zabuni ya kupeleka mawasiliano maeneo ya mipakani

    SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutangaza zabuni ya awamu ya sita yenye lengo la kupeleka mawasiliano katika kata 179 zenye vijiji 358 mradi unaolenga kupunguza changamoto ya mawasiliano kwa...
Back
Top Bottom