Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua...
Habari JamiiForums,
Mimi ni mwanafunzi kutoka CBE na nimepata nafasi ya kufanya field NBC Bank, ambapo nimepangiwa kitengo cha Direct Selling cha kuwasaidia wateja kufungua akaunti za benki.
Nimeelezwa kuwa malipo yatakuwa kwa mfumo wa commission. Naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu na mfumo...
Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.
Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,
Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha mijadala ya mhimu ili kutia wenge wapinzani wao wajichanganye na wao wapate point 3 za mhimu katika...
Je ni watu wa IT, Credit, content creators, human resource, corporate, risk, au ni kitengo gani wanazengo chenye maokoto mengi??
Benki gani bongo zina maslahi mazuri kwa wafanyakaz wake?
Maafisa Ustawi Kila siku wanatishiwa kuhamishwa na Katibu wa Idara ya Afya bila sababu za kueleweka.
Sijui yeye ana hayo Mamlaka ya kumhamisha Mtumishi maana hata kwenye Mfumo wa PEPMIS amewapanga vituo vya afya (bila kupewa barua zozote) ambako wanalazimishwa kwenda kukusanya mapato utadhani...
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati.
Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
Anonymous (d932)
Thread
afya
kitengo
mionzi
mmoja
mtumishi
serikali
watumishi
watumishi wa afya
wilaya
Habari za wakati huu
Katika harakati za kujitafutia ugali after chuo, nimetapanya CV yangu karibu kila office niliyoona kuna fursa iwe private/Gvt.
Nyingine zilitiki na nyingine ndo kama hivyo tena.
Mpaka SAIVI nipo kwenye issue fulani nafanya ila malipo si mazuri sana ila sababu sina kitu cha...
Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo.
Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa.
Mbali...
Anonymous (f836)
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
huduma
huduma nzuri
kitengo
mapokezi
mbeya
mtumishi
nzuri
rufaa
sana
simu
wagonjwa
Training, Research, Regulations and PRODUCTION.
1). Utafiti wa kilimo(TARI)
2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI)
3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA)
4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA)
5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP).
Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga...
Baadhi ya Polisi wanatuibia sana, mara kumi kitengo cha kui-track simu ikipotea kiondolewe rasmi, sio uongo wala nini, mara zote tukiibiwa simu tunaenda kuripoti Polisi. Loss report kwanza kwenye vituo tunatoa zaidi ya Sh. 10,000 na kiukweli huwezi ku-report popote zaidi ya hapo.
Haya unatoa...
Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile.
Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..?
Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile.
Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..?
Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.
Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
Najaribu ku connect matukio ya Mpina na Samia wake.............................tunakudai, kukatwa, then kwenda CCM. Dorothy kuachia urais, Mpina kuchukua fomu...WHAT DOES ALL THAT MEAN? Quencher
All in all. main take home msg ni kuwa vyama vyote vilivyoingia kwenye uchaguzi ni matawi ya CCM...
Chama kinashambuliwa nyie mmetulia tu na posho mnakula.
1. Andaeni matukio ya kuhamisha attention kwa kila tukio la kuchafua Chama. Hususani siku ambayo polepole anafanya mikutano yake uchwara.
2. Tumieni Wasanii kusifia hususani kuandaa matamasha ya bure.
3. Andaeni kampeni kwenye social...
Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.
Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya...
Miongoni mwa vitu vya ovyo kabisa hapa Tanzania ni uwepo wa mipango miji na wataalamu wa mipango miji. Hivi vitu havina faida yoyote hapa Tanzania na hapa napendekeza vifutwe haraka sana. Sihitaji hata kusema sababu gani imepelekea nipendekezo hilo lakini hata wewe msomaji tayari umeshajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.