Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam Wakuu,

Baada ya Waziri wa TAMISEMI kuagiza DART itafute mwekezaji binafsi wa kuendesha Mabasi ya Mwendokasi, sasa mambo yamekuwa moto.

Hadi sasa Makampuni 30 yameomba kuendesha Mabasi hayo.

MY TAKE

Nani wa kutoboa mbele ya Mwarabu?

=====

Dar es Salaam. Two Tanzanian companies are among 30 others that are competing to operate the Bus Rapid Transit (BRT) in a global tender to procure commuter buses in Dar es Salaam.

The government is looking for private investors to partner with and improve efficiency in the BRT.

Last week, the minister of State in the President’s Office - Regional Administration and Local Governments (PO-RALG), Mr Mohamed Mchengerwa, urged Dar es Salaam Rapid Transit Agency (Dart) to find a private investor by October 2024 to offer bus services and maintain efficiency.

Dart’s chief executive officer Athumani Kihamia told The Citizen that two Tanzanian firms were competing for the tender but said it’s too early to mention the names of the companies.

“It is not appropriate to name a corporation at this time because the tender to find a service provider is international. There are currently two businesses from the United Arab Emirates, one each from Asia and the United Kingdom, and numerous others from Africa,” he said.

“The procurement process is currently going on very well; once we get a qualified service provider and make an agreement, we will announce the company as soon as possible and make it public,” he said.

Mr Kihamia insisted that currently there is no company that has won or been awarded the tender so far, adding that Dart is a procurement entity that is handling the procurement process.

According to him, it is a procedure to get a service provider, because the procurement process involves various institutions such as the Ministry of Finance, the Attorney General’s Office, Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) and the PO-RALG.

The Citizen
 
watu ni wajinga sana nchi hii, miundombinu imejengwa kwa kodi za wananchi wanaleta foreigners kuitumia na kubagua who should use it kwani nauli yake ni watanzagiza wachache sana watamudu ingawaje kodi ya ujenzi tumelipa wote na miundo mbinu ikiharibika atakaye karabati ni masikini wa tanzagiza na siyo mwarabu.
 
watu ni wajinga sana nchi hii, miundombinu imejengwa kwa kodi za wananchi wanaleta foreigners kuitumia na kubagua who should use it kwani nauli yake ni watanzagiza wachache sana watamudu ingawaje kodi ya ujenzi tumelipa wote na miundo mbinu ikiharibika atakaye karabati ni masikini wa tanzagiza na siyo mwarabu.
Wawekezaji wanatulipa kwa dola kulipa hiyo mikopo tuliyokopa kwa dola

Daladala ukiwapa kuendesha wana uwezo wa kuilipa serikali kwa dola ili hiyo mikopo ya dola ilipike ?
 
Wacha weèee !!! ni lini mtauza na Tanesco jamani Wataalam ?
Siyo kuuza ni kubinafsisha. Nchi zenye akili mashirika yote ya uma yanaendeshwa thru PPP ili kutengeneza matajairi zaidi na kukuza ajira na ufanisi. Shirika la ndege la marekani halieneshwi na serikali. Ukiona serikali inaendesha kila kitu basi watu wake ni maskini wa kutupwa kama ilivyokuwa kwa jpm ambapo kwa mara ya kwanza vyuma vilikaza kila kona
 
Wawekezaji wanatulipa kwa dola kulipa hiyo mikopo tuliyokopa kwa dola

Daladala ukiwapa kuendesha wana uwezo wa kuilipa serikali kwa dola ili hiyo mikopo ya dola ilipike ?

hakuna kitu kama hicho, kwa nini huyo mwekezaji hakujenga hiyo miundo mbinu kwanza? hiuyo mwendo kasi hakuna mtanzagiza atakayeweza kumudu nauli wakishampa muirani sasa hivi wanamudu sababu serikali inalipia gharama pia na ndivyo inavyopaswa kuwa, ni jukumu la serikali kuhudumia wananchi wake kwani tunalipa kodi, na wakitoka hapo wanaamia kwenye ndege zetu tulizonunua kwa kodi zetu halafu wairani watazichukuwa kama wawekezaji, hii ni zaidi ya uhaini, is just evil …
 
Hivi Huu mradi Kwa Nini usivunjwe tu ili gari za watu binafsi zipite kwenye hizo njia?mradi umewashinda kuusimamia.hata akija huyo mwekezaji hakuna tutakachonufaika zaidi ya mwekezaji.reli aiibinafisisha kikwete Kwa wajomba zake wahindi Hadi likafa kabisa huyu naye anawakabidhi wajomba zake.kama mradi umeshindikana ruhusu watanzani a wote wapitishe gari zao maana lengo ni kuondoa foleni
 
Back
Top Bottom