ugiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Ugiriki yawa nchi ya kwanza ya Wakristo wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja.

    Ugiriki, siku ya Alhamisi imekuwa nchi ya kwanza ya kikristo wa ki-Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja - wakati mgumu kwa jumuiya ya LGBTQ ya nchi hiyo, jumuiya ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikipigania kuonekana na haki katika kivuli cha kanisa la Ugiriki lenye ushawishi mkubwa...
  2. P

    Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

    Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja. Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi. Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu...
  3. JanguKamaJangu

    Ugiriki: Watu 79 wafa majini baada ya meli kuzama

    Tofauti na idadi hiyo ya waliofariki, watu wengine zaidi ya 100 wameokolewa katika tkio hilo baada ya meli yao ya uvuvi kuzama katika Pwani ya Kusini mwa Ugiriki. Watu walionusurika wamedai kuwa abiria wengi katika meli hiyo walikuwa wahamiaji na hakukuwa na mtu aliyevaa jaketi za kuokoa...
  4. BARD AI

    Saudi Arabia, Misri na Ugiriki kushirikiana kusaka kibali cha Kombe la Dunia 2030

    Msemaji wa Wizara ya Michezo Mohammed Fawzi amethibitha kuwa nchi hizo tatu zimekubaliana kuungana ili kuomba kibali cha FIFA na mazungumzo hayo yanahusisha wasimamizi wa michezo wa nchi hizo. Misri inataka kutumia uzoefu wake wa muda mrefu katika masuala ya michezo ikiwemo kuwa mwenyeji wa...
  5. S

    Uturuki yalalamika ndege zake F-16 za kimarekani zimenyanyaswa vibaya mno na S-300 ya Ugiriki

    Ndegevita za kimarekani F-16 zinazomilikiwa na Uturuki zimenyanyaswa kijinsia na S-300 (mfumo wa ulinzi wa anga wa kisoviet/kirusi wa zamani) ya Ugiriki zilipokuwa zikiruka kwenye kisiwa cha Crete (Ugiriki). Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Uturuki (mwanachama wa NATO kwa miaka...
  6. YinYang

    UZUSHI Gazeti la "The Star": Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya alihongwa ili kuipa zabuni kampuni ya Ugiriki

    Gazeti la The Star limechapisha taarifa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Wafula Chebukati na wenzake walihongwa Dola Milioni 3 ( Takriban Tsh bilioni 7) ili kuwaba zabuni kampuni ya kigiriki kutengeneza karatasi za kupigia kura. Ukweli wake upoje?
  7. STRUGGLE MAN

    Iran yajibu malalamiko ya Ufaransa na Ujerumani kuhusu kukamata meli mbili za Ugiriki

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki. Siku ya Ijumaa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ilitangaza kuwa meli mbili za mafuta za Ugiriki...
  8. beth

    Moto wa msituni waendelea kuwaka Ugiriki, maelfu wahamishwa makazi

    Moto wa msituni unaendelea kuwaka katika Kisiwa cha Evia Nchini humo ikielezwa upepo mkali unapeleka moto huo kwenye Vijiji. Hadi sasa, watu zaidi ya 2,000 wamehamishwa kutoka Kisiwa hicho. Majanga kadhaa ya moto yameikumba Ugiriki katika siku za hivi karibuni. Taifa hilo linakabiliwa na joto...
  9. Tango73

    1976 siku kama ya leo ndege ya ufaransa yatekwa nyara athens ugiriki

    Ndege ya abilia ya ufaransa Air france ilitekwa nyara na magaidi wa kipalestina wakiongozwa na mjeruman Wilfried "Boni" Bose. na mwanamke Brigitte Kuhlmann, Ndege hiyo ilitua Benghazi na mwishowe Entebe. Subiri basi uone wiki ijayo(yaani baada ya siku sita za majadiliano) kitatokea nini...
  10. K

    Shirika la ndege la Ugiriki kushtakiwa kwa kumteka Mnyarwanda

    Mkosoaji mkuu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye anazuiliwa gerezani kwa mashtaka ya ugaidi amesema ataishtaki kampuni ya ndege ya kibinafsi ya Ugiriki kwa kuongoza njama ya utekaji na kupelekwa kwake nchini Rwanda. Paul Rusesabagina - ambaye jukumu lake wakati wa mauaji ya kimbari ya Rwanda...
  11. Sam Gidori

    Ugiriki: Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema

    Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi barani Ulaya ya Moria iliyopo katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki, kisiwa chenye uwezo wa kuhifadhi wakimbizi 3,000 lakini chenye idadi ya wakimbizi 13,000. Chanzo cha moto...
Back
Top Bottom