mkoa wa katavi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa fedha za kujikimu wala kupewa taarifa yoyote

    Tunaomba tulipwe fedha zetu za kujikimu. Mtumishi anapaswa kulipwa fedha za kujikimu kwa wakati ili aweze kukabiliana na mazingira mapya ya kazi. Hata hivyo, sisi watumishi wa Halmashauri ya Tanganyika hadi leo hatujalipwa, wala hatujapewa taarifa yoyote kuhusu malipo hayo. Tunaomba wahusika...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya kukosekana Mochwari Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, uongozi wasema fedha imetengwa kujenga jengo hilo

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi umeona taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu changamoto ya ukosefu wa Mochwari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Hoja ya Mdau ~ Milioni 100+ zinatumika kununua gari la ‘staff’ Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Milioni 100+ zinatumika kununua gari la ‘staff’ Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi wakati hospitali haina mochwari

    Tangu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi kuanza kazi ya kuhudumia umma haijawahi kuwa na chumba cha kuhifadhia maiti (Mochwari), hay ani maajabu, taasisi kubwa tena ya rufaa na hadhi ya mkoa inakosa huduma muhimu kwa jamii kama hiyo? Nimeshangaa sana kuona tarehe 20, Mei, 2026 nikiwa katika...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania RC Mwanamvua Mrindoko azindua basi la Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Mei 20, 2026 amezindua rasmi Basi la Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Akizungumza mbele ya Watumishi, Mrindoko amesema Basi hilo litasaidia sana Watumishi kupunguza gharama za maisha kwa kuwarahisishia usafiri. Pia soma ~ Milioni...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 uliopo Manispaa ya Mpanda. Pia, Dkt. Mwigulu ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kagwira – Karema (Kilometa 112) katika Halmashauri...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atembelea ofisi za CCM mkoa wa Katavi

    DKT. MWIGULU ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA KATAVI Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ametembelea Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi na kusalimiana na viongozi wa Chama hicho...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Katavi

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Katavi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mhe. Mwanamvua Mrindoko: Hii ndio Picha ya Rais Samia Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema kuwa Mkoa umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kuu na za ndani (km 526.85), madaraja mawili ya Kavuu na Msadya, shule mpya 129, shule maalumu mbili, vyuo vya VETA viwili, miradi ya maji 28...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?

    Mkoa wa una majibo Matano; Jimbo la Mpanda Mjini, Jimbo la Katavi, Jimbo la Tanganyika, Jimbo la Katavi na Jimbo la Nsimbo yote naona kuna ukimya unatawala kuhusu majibu ya Kura za Maoni kuhusu wanaowania Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nini kinaendelea? Pia soma ~ Nini kinaendelea...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watu wa Katavi tunahangaika, umeme hakuna

    Licha ya kuwa na matangazo mengi ya wanasiasa kuwa bwawa la Nyerere limenza kazi lakini Suala la umeme mkoa wa katavi imekuwa changamoto kubwa Sana Kila siku umeme lazima ukatike kila siku mafundi wako site unashindwa hata kufanya shughuli za kimaendeleo Niliweka Mayai kama 100 hivi kwenye...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Katavi wanalalamika wanaume zao kulala hadi 6 mchana. Ni uvivu au ni nini?

    Wakuu, Nimekutana na hii clip ya wanawake wa Katavi wakilalamika kuwa wakati wanawake wanaamka asubuhi kwenda shambani kufanya kazi, wanaume wanafanya tofauti. Wanawake wanasema kuwa wanaume wamekuwa na tabia ya kuamka saa 6 mchana wakati wao wakihenyeka kwenye vibarua. Wanaume wa Katavi...
  14. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

    === Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina. Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA Mkoa wa Katavi tengenezeni Daraja katika Mto Nsemlwa, msibweteke na kivuko dhaifu kilichopo

    Wakala wa Barabara za Vijiji na Mjini (TARURA) Mkoa wa Katavi timizeni wajibu wa kujenga daraja katika Mto Nsemlwa, Manispaa ya Mpanda kivuko kilichojengwa na mtu binafsi kisiwasahaulishe jukumu lenu. Kivuko kilichojengwa katika barabara inayounganisha Kata ya Nsemlwa, Mtaa wa Migazini na Kata...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Katavi

    Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na majimbo ya uchaguzi matano (5) ambapo Jimbo la Mpanda Vijijini linaongoza kwa kuwa na watu wengi (371,836) likifuatiwa na Jimbo la Mpanda Mjini (watu 245,764). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Katavi ambalo lina watu 118,818. Matokeo ya Sensa ya Watu...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Umeme Kuongeza Uzalishaji wa Madini Mkoa wa Katavi

    UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye gridi ya Taifa itasaidia upataikanaji wa uhakika wa umeme na hivyo kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji...
  18. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya Ziara ya Kihistoria Mkoani Katavi Julai 12-15, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Ni historia,ni furaha na tabasamu,ni heka heka na chereko,ni shauku na kiu kubwa sana iliyojaa katika mioyo ya wana Katavi ambao wameripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kupata taarifa ya ugeni mzito na wa kihistoria ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu...
Back
Top Bottom