CHASHA FARMING
Reaction score
3,447

Profile posts Latest activity Postings About

 • Habari Zenu Wadau! Nimevutiwa sana na hii page na me pia nimeanza mradi wa kuku, hivyo naombeni nijoin katika hii group napatikana Moshi. My namba ni 0755024400
  Chasha habari yako. naomba mawasiliano yako ya simu kuna vifaa ninataka kupata kutoka kwako. Namba yangu ni 0754049695. ASANTE
  Habari Chasa, naomba kupata mawasiliano yako ya simu kuna mambo nahitaji kujifunza kutoka kwako. Namba yangu ni 0754345294. Asante
  Hongera sana mkuu, mimi kiasi fulani, vipi unapambana na nini kwa sasa? ila mwezi wa nne nitakuja Dar so nitakutafuta tukae tuongee zaidi
  Okey, haina ubaya sana but wadau tulikuwa tumeshazoea lile la awali. Anyway hayo tuyaache, turudi kwenye topic ya mihangaiko.
  Mkuu, shughuli zinaendelea vizuri kwa kiwango kikubwa, but zimenifanya niwe busy sana mpaka muda wa kuja hapa jamvini mara kwa mara naukosa.
  Vipi wewe mipango yako?
  Kaka vipi? Mambo yanaendaje huko?
  Naona umefanya rebranding kimya kimya? From KOMANDOO to Chasha! Kuna nini nyuma yake?
  All the best mkuu
  Salama kaka.
  I hope kila kitu kinakwenda vizuri kwa upande wako pia. Nasubiri hiyo idea yako kwa hamu na shauku kuu, ili tujue la kufanya. Ninaamini haitachukua muda mrefu sana.
  Kila la heri mkuu na aksante pia kwa kulitafakari lile suala.
  Regards
  Entrepreneur
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top