magari ya umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wakati dunia imekazana kuhamia kwenye magari ya umeme sisi tumekaza kuhamia magari ya gesi?

    Hii mifumo ya gesi ina future yoyote? Kwa nini tunatumia nguvu nyingi kuhamia magari ya gesi wakati dunia haionekani kuelekea huko?
  2. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Tuongelee magari ya umeme.

    Gharama zake za kununua, gharama za umeme wa kuendeshea, umbali wa kusafiri, kodi zake, faida na hasara zake pamoja na changamoto zingine. Geely Geome(Xingyuan). Moja ya EV inayouza sana China. Bei yake ni kama USD 10,000 BYD seagull/dolphin. Moja ya EV inayopendwa sana China. Bei yake ni...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kuanza kutumia magari ya umeme

    Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme. Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km. Mazingira kama hayo yanafaa sana gari za umeme. Hakuna jabari za range anxiety. Tena nawashauri Zanzibar waruhusu na magari...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Magari ya Umeme Mbona Bado Haujashuka?

    Serikali ya Tanzania ilitangaza katika hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuwa imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa baadhi ya magari ya umeme kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10. Aidha, ilitangaza pendekezo la kusamehe VAT kwa baadhi ya vifaa vya kuchajia magari ya umeme ili kuhamasisha...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mazuri ya magari ya umeme na changamoto zake

    kama umewahi kutumia magari haya ya umeme elezea faida zake na changamoto zake ili mtu afanye uamuzi sahihi
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

    Nadhani tumesikia bajeti mpya ilivyoongeza kodi kwenye magari yaliyotumika nje. Focus kubwa ikiwa kwenye umri wa gari na ukubwa wa engine. Ila kwa upande wa pili, ni furaha kwa wenye mpango wa kuingiza magari ya umeme. Excise Duty kwa magari ya umeme (EV) imeondolewa kabisa. (Ila Excise Duty...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali kupunguza ushuru wa forodha kutoka 25% hadi 10% kwenye magari yanayotumia nishati ya umeme

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2026/27, serikali inapendekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vitakavyotumika katika vituo vya kuchaji magari yanayotumia umeme vinavyoingizwa nchini na kutambulika kwa HS Code 8504.00 Ambapo Katika...
  8. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko wa Mafuta Duniani: Je, Tanzania Tumejipanga au Tunasubiri Miujiza? Wakati Ndio Sasa wa Gesi Asilia na Magari ya Umeme (EVs

    Wakuu, Kuna makala nimeisoma leo kwenye gazeti la The New York Times (NYT) imenifanya nitafakari sana kuhusu hatima ya nchi yetu na uwezo wa viongozi wetu kuona mbali (vision). Makala inahusu mtikisiko mkubwa wa mafuta unaoendelea kuikumba China na dunia kwa ujumla kufuatia kushtadi kwa vita...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Magari ya umeme ya China yaingia barabarani Tanzania huku magari ya nishati safi yakishika kasi

    Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji wa China. Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto), kampuni ya magari ya umeme Tanzania...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope unaweza Kumiliki Biashara ya Kituo cha Kuchaji Magari ya Umeme

    Teknolojia ya usafiri inabadilika kwa kasi. Dunia nzima inasogea kwenye magari ya umeme (EVs), na ili kuendesha mapinduzi haya kunahitajika kituo cha kuchaji (EV Charging Station). Kwa sasa, gharama ya kufunga kituo cha kibiashara cha kuchaji magari (hasa DC Fast Charging) inakadiriwa kati ya...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa magari ya umeme (Electric Vehicle System).

    Magari ya umeme (EV – Electric Vehicles) ni magari yanayotumia umeme badala ya mafuta (petrol/diesel). Badala ya injini ya mwako wa ndani (internal combustion engine), yanatumia electric motor na betri kubwa kuhifadhi nishati. Vipengele Vikuu vya Mfumo wa Gari la Umeme 1. Battery Pack Hii...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni za magari ya umeme za China zafungua uwezo wa nchi za Afrika huku zikijizolea soko la magari ya umeme

    Kampuni za kutengeneza magari za China zinajitahidi kadiri ziwezavyo kufungua uwezo wa nchi za Afrika, huku zikitilia maanani magari ya umeme na nishati mseto, wakati ambapo vikwazo vya kuuza magari katika nchi za Marekani na Ulaya vikifanya makampuni haya kutafuta masoko mapya. Ingawa Afrika...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tunapo elekea injini za magari zinazotumia mafuta watu watabafilisha na kutumia za umeme mtupu kwenye magari yao

    Nimeona majaribio ambayo yamefanya vizuri kuhusu kubadilisha injini za magari ambayo yalikuwa yana tumia mafuta na kutumia umeme. Gari nyingi zilizo kufa injini zinabadilishwa kuwa za umeme ila bado bei ya kupata betri ndio changamoto. Hii ni injini ya umeme Kuna kitu niliona Aud kuwa gari...
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania CHINA yawa nchi ya kwanza kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka

    Nchi ya China imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka.
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Nini kimewakumba Japan uzalishaji wa Magari ya Umeme?

    Nini kimewakumba Japan? Trump ana hasira nao hawa wachina balaah kati ya 10 nafasi 6 zao sio kawaida. Utawala wa DT safari hii utakuwa na vituko zaidi dhidi ya hawa wachina ana hamu nao sana.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inaonesha hekima na uamuzi bora zaidi kuhusu magari ya umeme ya China

    Hivi majuzi, Klabu ya Magari ya Ujerumani ADAC ilitoa ripoti ya utafiti ikionyesha kuwa karibu 60% ya watu waliohojiwa wa Ujerumani wanafikiria kununua magari ya chapa ya China, huku asilimia 72 ya watu wenye umri wa miaka 18 hadi 39 wakipendelea magari hayo. Kuhusu magari ya umeme, asilimia 80%...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China yailaani Tume ye Umoja wa Ulaya kwa kutaka siri za kibiashara katika uchunguzi wa magari ya umeme

    Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka kiasi kikubwa cha taarifa zinazohusiana na siri za kibiashara za viwanda hivyo. Wizara hiyo imerejea...
  18. X

    JamiiForums Tanzania RUSSIA ECONOMY: Ripoti mpya ya World Bank yaidhinisha Russia kuingia kundi la mataifa yenye kipato kikubwa duniani licha ya kuwa vitani na vikwazo

    Benki ya Dunia imechapisha ripoti ambayo imeidhinisha Urusi kama nchi yenye kipato kikubwa. Kigezo cha nchi iwe katika kundi la mataifa yenye kipato kikubwa duniani ni pale wastani wa pato la mtu mmoja katika taifa husika liwe kuanzia USD 14,005 Kulingana na ripoti ya WB, mwaka 2023 wastani...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Tunataka kuona tunasafirisha betri za magari ya umeme na sio madini yake. Anadi umasikini utakuwa 0 mwaka 2050 nchini

    Wakati akiongelea hali ya uchumi na mpango wa maendeleo bungeni leo Juni 13, waziri Kitila Mkumbo amesema wataendelea kuzingatia nafasi ya madini kukuza ujazo wa mauzo nje ya nchi na kuzingatia umuhimu wa madini ya kimkakati kutimiza azma ya dunia kuzalisha nishati safi na salama kwa mazingira...
  20. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Wachina Hawataki Masihara: Wanafunzi waenda na magari ya umeme kwenye mitihani

    The Chinese People’s Liberation Army (PLA) deployed an electronic warfare (EW) vehicle during the two-day national college entrance exam, known as “gaokao,” which is the world’s largest academic test. This electronic warfare system is designed to operate in all weather conditions, offering...
Back
Top Bottom