kushusha bei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

    ========================== Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa la Nyerere na kuingizwa kwenye Gridi bado eti umeme hautashuka bei, nimekuwa nikiwaza sana...
  2. Mtemi mpambalioto

    Maharage Chande: Si busara kushusha bei ya umeme

    kutoka katika gazeti la mwananchi: Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema hadhani kama ni busara kushusha bei ya umeme baada ya mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kuanza uzalishaji. Chande amebainisha hayo leo Mei 26, 2023 wakati akijibu...
  3. BARD AI

    Serikali kushusha bei ya gesi kama uzalishaji umeme utakuwa mkubwa

    Serikali imesema iwapo mipango ya kuongeza uzalishaji umeme itakwenda kama inavyokusudiwa itasaidia kupunguza gharama za matumizi ya gesi kwa wananchi wa kipato cha kati na chini. Hayo yameelezwa leo Machi 15 na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda, Exaud Kigahe kwa niaba ya Waziri wa...
  4. P

    Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

    Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya. Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliewahi kueleza ni kwa jinsi gani jambo hili linawezekana. Tafadhali kama...
  5. muafi

    Mdude Chadema, Ahaidi kumpelekea moto alietoa ahadi ya kushusha bei ya mafuta

    Huu ni ujumbe toka kwa kijana machachali na mwanaharakati wa CHADEMA , Akihaidi kumpelekea moto mtu ambaye hajamtaja jina, CHADEMA INA WATU
  6. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kuliko kukopa ili kushusha bei ya mafuta kwanini tusitumie Tozo zetu kufanya hivyo

    Wakuu, Waziri wa fedha alitangaza tozo zilizopitishwa na Bunge letu,na kujinasibu kuwa tumekusanya fedha nyingi Sana za tozo. Kwa kuwa lengo la tozo hizi zilikuwa kujenga madarasa na vituo vya afya nchini lakini tulikopa tena kwa ajili ya ujenzi huo. Kwanini tozo zile tusitumie kushusha bei...
  7. Ferruccio Lamborghini

    Rais Samia amechagua njia sahihi kushusha bei mafuta

    RAIS Samia Suluhu Hassan, ameamua kulikabili sakata la mgogoro wa mafuta kwa kutoa maelekezo ya kujibana katika matumizi ya ndani ya Serikali. Kwa nini hii ndio njia sahihi? Nitaeleza; Wapo waliopendekeza kuondoa tozo mbalimbali kwenye mafuta ili bei ipungue. Ni mawazo lakini msaada wake upo...
  8. B

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatafuta njia mbadala za kupunguza gharama za maisha

    SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA *Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
  9. T

    Hivi kuna kiongozi wa serikali ana ubavu wa kushusha bei za vitu? Naona kama tunadanganywa

    Ingawa mimi sio mchumi wa namna yoyote, lakini kutokana na uzoefu wa utafutaji wa hapa na pale naelewa kwamba ili bei ya vitu ipande ni pale kunapokuwa na uhitaji mkubwa wa vitu kiwango kinachozidi uzalishaji. Kwa mantiki hiyo hiyo ili vitu vishuke bei ni lazima uzalishe sana kuliko uhitaji...
  10. M

    Kila nikishusha Bei dhidi ya washindani wangu nao hushusha Zaidi yangu, nifanye nini kuongeza mauzo?

    Habari wakuu, Nimekuja kwenu kutaka fikra na mawazo.. Niko ktkt biashara ya duka la jumla la vyakula kwa muda Sasa changamoto iliyopo kila mshindani wangu analenga kushika wateja soko kwa kushusha Bei chini Zaid nami nimekua nikishuka nao.. Sasa Basi Hali hii imepelekea kuzid kukupunguza faida...
Back
Top Bottom