Hongereni sana TANESCO, tumeshuhudia kukamilika kwa mradi huu mkubwa na hakika mtambo umewashwa leo, mmetuambia tayari mmeunganisha na gridi ya Taifa. Nina dukuduku hapa
Gridi ya Taifa ni moja, kwa nini kusiwe na gridi za Taifa ambazo zinapokea umeme huo na kutumika kama backup iwapo moja...
Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Wazia dunia ambayo huna haja ya kununua LUKU, kuweka bando la umeme, wala kuvuta mawaya ya hatari juu ya paa la nyumba yako. Dunia ambayo unachomeka kifaa chako chochote hewani na kinapata umeme bila kulipia hata shilingi moja!
Hili halikuwa wazo la kusadikika au sinema ya Hollywood. Lilikuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Viongozi mbalimbali wameungana na Rais...
Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) utazinduliwa rasmi Jumamosi hii. Mradi huu wenye historia ya zaidi ya karne moja, ulioanza kufanyiwa tafiti tangu enzi za ukoloni, ukaasisiwa kama wazo la kimkakati wakati wa Mwalimu Julius Nyerere, na hatimaye kupewa msukumo mkubwa wa...
Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda...
FUNDI TV NA VIFAA VYA UMEME..
KAMA TV YAKO INA SHIDA YOYOTE TUNATENGENEZA KWA UHAKIKA NA HARAKA ZAIDI..
KAMA TV HAIWAKI
INAWAKA INATOA MWANGA TU
INAWAKA MISTARI
PICHA INACHEZA CHEZA
INAWAKA KITAA CHEKUNDU
IMEKUFA MOTHER BOARD
POWER SUPPLY
BACKLIGHT
TV AINA ZOTE TUNA DEAL NAZO
TUNA HUDUMA YA...
Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na viwanda.
Magari hayo yamewasilishwa kupitia njia rasmi za huduma hiyo, huku baadhi ya...
Uganda Electricity Distribution and Supply Company Limited (UEDCL) is facing parliamentary scrutiny over gaps in its management structure and rising electricity distribution losses, just months after taking over the country’s electricity distribution network from Umeme.
The concerns emerged...
Walimu ni kada muhimu inayodharaulika. Siyo kwamba si wasomi ila kwakuwa ukitoka tu chuo basi unafundisha lakini wanapswa kukata leseni ili waheshimike kama mawakili wanavyoheshimika duni a nzima
Madaktari bingwa na wa jumla (Physicians
Wauguzi waliosajiliwa (Registered Nurses - RN)
Wafamasia...
My Take
Naunga mkono msimamo wa Ethiopia kutumia Rasilimali zake.
------------
Waziri wa Rasilimali Maji na Umwagiliaji wa Misri, Hani Sewilam, ametangaza kuwa nchi yake haitairuhusu Ethiopia kujenga mabwawa mapya kwenye Mto Nile.
Sewilam ametoa kauli hiyo Agosti 4, 2026, wakati wa mkutano na...
Haiwezi isha siku moja bila kukatiwa umeme hapa Wilaya ya Masasi, kila siku wana matengenezo, hawajali kama ni siku za kazi au siku za kiuzalishaji zinaendelea, Tunaweza kaa bila umeme siku 3 mfululizo, weekend zote hatuna umeme shida iko wapi? Kama wameshindwa tafadhali wataifishe tumechoka...
Tanesco mjitafakari unaweza kata umeme toka saa12 asubuhi mpaka saa mbili usiku eti unarekebisha miundo mbinu hamnaga namna ya kufanya part by part yaani muda wote huo bila haibu, mchana ni muda wa kazi nzto kuliko usiku mnardisha umeme usiku ili iweje watu usiku wametulia vitandani wakatieni...
TANESCO wanakata umeme nyanda za juu sababu wanatandaza nyanya Dodoma-Chalinze. Hii kijiografia na kiusambazaji wa umeme imekaaje maana hainiingii akilini?
Maelfu ya wateja wa Kenya Power wamekumbwa na changamoto ya kushindwa kununua tokeni za umeme wa malipo ya awali saa chache baada ya hitilafu kubwa iliyosababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini.
Wateja wengi walilalamika kuwa miamala kupitia huduma za simu na majukwaa...
Kwenu economists, electrical engineers, Insiders and planners, hivi magu aliwezaje ku-control issue ya umeme na haikuwa burden kama tulivyozoeaga?
Karibuni.
===================
https://www.jamiiforums.com/threads/hayati-magufuli-aliwezaje-kutatua-changamoto-ya-umeme-nchini.2458204/post-56548260
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Nikaeleza kuwa tumejaribu kuwasilisha kero zetu TANESCO wanasema wanakuja kuongeza transformer kwa...
Anonymous
Thread
changamoto
korogwe
kukatika
mara
mara kwa mara
tanesco
umemeumeme kukatika
ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO), Bw. Raymond Mbilinyi, ameahidi kushirikiana na Shirika la Umeme na Gesi la Algeria (SONELGAZ) katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.