umeme

  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Songas zamaliza Mkataba wa Uzalishaji Umeme. Serikali yagoma kuendelea na mkataba kulinda maslahi ya nchi

    KUMALIZIKA KWA MKATABA WA UNUNUZI WA UMEME KATI YA TANESCO NA KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME KWA NJIA YA GESI ASILIA YA SONGAS ljumaa 01 Novemba, 2024 Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha umma kuhusu kumalizika kwa mkataba wa ununuzi wa umeme kutoka Kampuni ya uzalishaji...
  2. Mzee Wa Kale Kabisa

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme umerudi Dar es Salaam?

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam kwa sasa yanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, umeme umekuwa ukikatika kwa masaa kadhaa huku kukiwa hamna taarifa yoyote kutoka kwa wahusika. TANESCO mtuweke wazi ili tunavyopanga ratiba zetu na ninyi tuwajumuishe na mipango yenu ya kukata...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme mkoani Tabora

    Hivi hili tatizo la umeme mkoani Tabora litaisha lini? Hawatoi taarifa kwa wananchi nini kinachoendelea, wanaukata wanavyotaka na wanaurudisha wanavyotaka, mbaya zaidi ukipiga simu makao makuu Tanesco. Watoa huduma hawawi wazi, wanajibu tu ooh kuna hitilafu, hatukatai hitilafu kutokea ndo...
  4. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Bei ya kunganisha umeme mjadala Bungeni, Wabunge wahoji kwanini haibadiliki?

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya jana Oktoba 29, 2024 katika kipindi cha maswali na majibu wameibana Serikali kuhusu bei ya kuunganisha umeme maeneo ya mijini, ambapo bei hiyo ni shilingi 320,000. Akijibu swali la Mbunge wa Korogwe, Timotheo Mzava, Naibu Waziri Judith...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga: Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa Kilometa 1. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Maimuna Mtanda Mbunge wa Newala...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Kanali Patrick Sawala: Serikali imefikisha umeme katika Vijiji vyote 785 vya Mtwara

    Ni furaha na nderemo kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanikiwa kufika umeme katika Vijiji vyote 785 katika Mkoa huo. Akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika Kijiji cha Makome A ambacho ndio kijiji cha mwisho kuunganishwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA American fridge, good condition inatumia umeme kidogo bei 1.6m

  8. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka umeme kwenye godown

    Nataka kuweka umeme kwenye godown langu la kuhifadhi nafaka. Je wiring ya mwanzo inakimbilia kwenye laki tano au mafundi wananipiga
  9. Mookiesbad98

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Yasitisha Mkataba Wa Mabilioni Kati ya Serikali ya Kenya na Adani Energy Solutions

    Mahakama Kuu ya Kenya imesitisha mpango wa serikali wa kuipa kampuni ya Adani Energy Solutions Limited kutoka India kandarasi kubwa ya usambazaji wa umeme, kufuatia wasiwasi kuhusu mchakato wa zabuni. Ijumaa, mahakama ilitoa agizo la kuzuia mkataba wa Sh95.68 bilioni ($740 milioni) baada ya...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Saudi Arabia wameanzisha miradi ya umeme wa Jua?

    Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua! Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!
  11. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa mitambo viwandani, induction furnaces,overhead na cranesetc

    Mimi ni fundi wa umeme wa mitambo mbalimbali ya viwandani na majumbani,kama matanuru ya umeme ya kuyeyushia vyuma,kama ya viwanda vya nondo(INDUCTION FURNACES),OVERHEAD CRANES,MAMBO YA UYEYUSHAJI CHUMA(FOUNDRY) NK,NAFANYA PART TIME,SIYO KUAJIRIWA,,NIPO DAR.
  12. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Walituambia Umeme wa maji umepitwa na wakati, huku wao wanajenga na kupanua mabwawa yao. Wazungu wasanii sana

    Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme. Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi zao. Kama umeme wa maji umepitwa na wakati, kwa nini wao wanajenga mabwawa ya umeme zama hizi
  13. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Nyamagana: Tujenge reli za kamba za Gari umeme

    Habari yako Nyamagana ! Mnaonaje pakijengwa Gari Umeme zenye kutumia reli za waya kuzunguka Nyamagana. 1. Hii ianzie Mkuyuni - Igogo - Mrungushi - Sahara (Main Station). 2. Hii ya pili iwe Lango lango - Mabatini - Buzuruga - Mahina - Mahina - Mkuyuni . Oya hii itakuwa sawa sana na mji...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Nunueni umeme mapema kabla ya saa 5:59 jioni

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku. wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO kwani mna matatizo gani? Siku zote hamkati umeme leo siku ya derby ndio mnakata sio bure mnatafuta sifa na kiki

    Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme. Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta. Imeniuma sana...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kuna mgao wa umeme kimyakimya?

    Nimekuja mkoa flani huku kaskazini, naona tangu juzi ni umeme kukatika mchana na kurudi jioni. Je kuna mgao wa kimya kimya?
  17. Hommy

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kutengeneza Umeme binafsi

    Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge. Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Aunganishiwa na Tanesco umeme bure na atatumia umeme bure baada ya kutoa eneo la kuweka Transfoma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Njombe limefanikiwa kuingiza umeme na kuuwasha bure katika nyumba ya Bibi Esteli Nyalusi mwenye umri wa miaka 62 ambaye ni mkazi wa kata ya Maguvani halmashauri ya mji wa Makambako ikiwa ni kutoa shukrani kwake baada ya kuruhusu bila vikwazo eneo lake...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mwanga wa mshumaa huhamasisha sana yale mambo yetu kuliko umeme?

    Habarini! Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu wakurugenzi wakawa wa kwanza kuisoma. Kwenye mada! Ndugu, mmeshakokotana hadi chumbani na hamjisikii mzuka...
  20. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kama Umeme hautoshi tunajadili PPP ya Msambazaji ili Asambaze nini ?

    Tuliambiwa umeme hautoshi ndio maana kukawa na Mgao, tunaambiwa hata Bwawa likiwa full Capacity (mara mbili ya uzalishaji wa sasa) bado bei hazitashuka sababu kuna mahitaji makubwa ya viwanda n.k. Sasa najiuliza hawa Adani na wengineo ambao eti wameleta ombi la kufanya usambazaji, wanasambaza...
Back
Top Bottom