msamvu

Msamvu Bus Terminal is located in Morogoro municipality in Tanzania. It is an International Bus Terminal. The main concern is congestion of buses, especially from 09:00 to 10:30 am when most of the buses arrived from Dar es Salaam on the way to other regions and neighbouring countries. Also, buses from southern highlands and neighboring southern countries which are Malawi and Zambia together with those from Lake zone (Mwanza, Shinyanga, Tabora, Simiyu, Dodoma and Mara) converge at Msamvu Bus Terminal during late hours (4:00pm to 7:30pm) making the station too congested.On 10 August, 2019, the Morogoro tanker explosion occurred after an oil tanker turned over near this bus terminal, killing 75.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Stendi ya Msamvu yashindwa kulipia hata umeme, ni giza Totoro!

    Stendi ya Msamvu hali ni mbaya kimapato licha ya uzuri na ubora wake. Menejimenti ya stendi hiyo yashindwa kulipia hata umeme. Abiria wanaporwa hovyo kwasababu ya giza lililotawala kwenye stendi hiyo. Kama vipi tumkabidhi Muarabu aendeshe. ============== Upande wa vyoo vichafu mno, upande wa...
  2. Intelligence Justice

    Mfanyabiashara gani amepewa kibali kujenga kituo cha mafuta ndani ya stendi ya Msamvu?

    Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
  3. Idugunde

    Morogoro: Mpiga debe amuua mpiga debe mwenzake wakigombea abiria stendi ya Msamvu

    Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mpigadebe wa mabasi ya Abood Abdilah Yassin (32) mkazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kumuua mpiga debe mwenzake wakati wakigombea abiria kwenye stendi kuu ya mabasi Msamvu. --- Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Abdilah...
  4. Erythrocyte

    #COVID19 Morogoro: Usipovaa barakoa Stendi ya mikoani ya Msamvu faini yake ni Shilingi elfu 50

    Kama wewe ni mgeni basi ni vema ukalihifadhi onyo hili lililotolewa na uongozi wa kituo hicho ---- Uongozi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Msamvu mkoani Morogoro umeanza kutoza faini ya Sh50,000 kwa mtu atakayeingia au kutoka kituoni hapo bila kuvaa barakoa na kunawa mikono. Meneja...
  5. Uzalendo wa Kitanzania

    Morogoro: Moto wateketeza kituo kikubwa cha kupozea umeme cha TANESCO

    Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza kituo kikubwa kabisa chenye mitambo maalumu ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro Moto huo bado haujazimika hadi sasa na juhudi za kuuzima zinaendelea Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani...
  6. T

    Sanamu za wanyama mzunguko (roundabout) wa Msamvu, Morogoro.

    Wiki iliyopita nimepita roundabout ya Msamvu na kuona kazi nzuri ya kutengeneza sanamu zinazoonesha vivutio vyetu. Moja ya sanamu hizo ni ile ya chui akimkamata mamba. Nina tatizo na hii sanamu. Jamii ya chui wenye tabia na uwezo wa kukamata mamba wanaitwa jaguars wanaopatikana bara Amerika...
  7. Superbug

    "Kipita kushoto" cha Msamvu ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati na mzani wa Dakawa-Dumila una eneo kubwa kuliko mizani yote Tanzania

    Kwa wale wasafiri mtakubaliana na Mimi juu ya andiko hili. Keep left ya Msamvu ndio yenye kipenyo/mzingo mkubwa kuliko vyote East and Central Africa. Na mzani wa Dakawa-Dumila ndio wenye eneo kubwa sana kuliko mizani yote Tanzania. Una urefu wa almost km 1 na upana mkubwa sana huku ukirembwa na...
  8. Superbug

    Nipo Starpark Msamvu Morogoro pazuri sana

    Nipo bongoland nchi ya Nyerere mkoa wa Morogoro palipojaliwa miradi miwili mikubwa reli ya SGR na Nyerere dam only kama vitakamilika nipo msamvu kijiwe kipya naona kinaitwa Starpark Msamvu ila tusijuane wala usije inbox sina hela ya bia .
  9. Kurzweil

    Msamvu, Morogoro: Vibanda 8 vya biashara katika eneo la Stendi ya Mabasi vyateketea kwa moto

    Moto ambao haujafahamika umesababishwa na nini umewaka na kuteketeza vibanda vya biashara takriban 8 katika eneo la stendi ya Msamvu, usiku wa kumakia leo Akizungumza baada ya kuudhibidti moto huo, Kamanda wa Uokoaji na Zimamoto mkoani humo, Godluck Zerote amesema hakuna mtu aliyedhurika bali...
Back
Top Bottom