umeme

  1. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED TANESCO wamerekebisha changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara Mkazi wa Korogwe Msambiazi

    Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano. Nikaeleza kuwa tumejaribu kuwasilisha kero zetu TANESCO wanasema wanakuja kuongeza transformer kwa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme

    ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO), Bw. Raymond Mbilinyi, ameahidi kushirikiana na Shirika la Umeme na Gesi la Algeria (SONELGAZ) katika...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bei ya umeme nchini Ethiopia ni kama miujiza

    Ethiopia bei ya umeme ni dola 0.006 kwa unit(Kwh). Hii ni kama Tsh 16! Hapa kwetu ni kama Tsh 300Kwh. Kama siyo miujiza ni nini?
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wa TANESCO, TAKUKURU, Osha, MCA wachunguze mradi wa umeme Dodoma – Kilosa, Wafanyakazi wanaonewa

    Mimi ni mfanyakazi wa mradi wa umeme (neg 2 lot 1b Dodoma to Kilosa ) mradi huu amepewa mkandarasi mkuu Tibea ltd (mchina) ambaye naye ameajiri Taasisi ya Tabono ltd ambayo ndio inahusika na mikataba ya wafanyakazi. Kero kubwa ni kwamba gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku lakini cha...
  5. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Tuongelee magari ya umeme.

    Gharama zake za kununua, gharama za umeme wa kuendeshea, umbali wa kusafiri, kodi zake, faida na hasara zake pamoja na changamoto zingine. Geely Geome(Xingyuan). Moja ya EV inayouza sana China. Bei yake ni kama USD 10,000 BYD seagull/dolphin. Moja ya EV inayopendwa sana China. Bei yake ni...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kuanza kutumia magari ya umeme

    Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme. Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km. Mazingira kama hayo yanafaa sana gari za umeme. Hakuna jabari za range anxiety. Tena nawashauri Zanzibar waruhusu na magari...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Umeme Newala

    Mimi ni mkazi wa Newala -Mtwara, kila Mara Tumekuwa na changamoto ya kukatika umeme , tunashindwa kufanya kazi zetu zinazotumia umeme; mda mwingine siku mbili mfululizo bila kupewa taarifa yoyote, kwa Leo pia Toka jana usiku Kucha na Leo mchana kutwa hakuna umeme, tunatamani kujua tatizo ni nini?
  8. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumefanya ukaguzi wa miundombinu katika Jengo la Mwenge Stendi na kubaini huduma ya umeme ni ya uhakika

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa zilizosambaa zikidai kuwepo kwa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo hilo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumepokea taarifa ya changamoto ya umeme jengo la biashara Mwenge, tunafanyia kazi

    Kuhusu hoja ya Mdau aliyezungumzia Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni ufafanuzi umetolewa kutoka upande wa TANESCO. Asante kwa kutufahamisha kuhusu changamoto hii. Tumepokea taarifa yako na tunaichukulia kwa uzito. Kesho (Julai 15, 2026)...
  11. bless on

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji yako inakula umeme kuliko pasi? Siri ya inverter unayopaswa kujiua.

    Watanzania wengi tunadhani Pasi au Jiko la umeme ndivyo vinamaliza LUKU. Lakini ukweli ni huu: 👇 Pasi unatumia dakika 15, jiko unatumia saa 1, lakini Friji linatumia saa 24 kila siku. Kama friji lako siyo la teknolojia ya Inverter, basi unamiliki "mnyonyaji" wa siri ndani ya nyumba yako. Hapa...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Gari za umeme mtupu ni nzuri ila kwa africa zitusubiri kwanza mpaka tutakapo zikifikia gari za mafuta za mwaka 2026 zikawa kitonga.

    Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu. Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari . Hizi barabara zetu nikama unachezea pesa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi

    Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya nyumba zilishapata huduma, ila kuna wengine bado hatujapata hiyo huduma. Tukaambiwa kwamba sisi...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Sometimes naona bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu, Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha." "Mimi mdogo wangu, nitaenda...
  15. dark web

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni fundi Umeme wa viwandani Jaribu hii nafasi ya kazi........

  16. mike2k

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Umeme Newala: Ni Wakati wa Kupata Suluhisho la Kudumu

    Nimekuja kikazi Wilaya ya Newala, Kata ya Kitangari, Nilitarajia changamoto za kuzoea mazingira mapya, lakini sikutarajia changamoto kubwa ya umeme. Kwa kweli, hali niliyoikuta imenikumbusha enzi za mgao wa umeme miaka iliyopita, ambapo umeme ungeweza kukatika kwa saa nyingi bila maelezo ya...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Magari ya Umeme Mbona Bado Haujashuka?

    Serikali ya Tanzania ilitangaza katika hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuwa imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa baadhi ya magari ya umeme kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10. Aidha, ilitangaza pendekezo la kusamehe VAT kwa baadhi ya vifaa vya kuchajia magari ya umeme ili kuhamasisha...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Baadhi ya maeneo Dar na Zanzibar yakosa umeme kutokana na hitilafu Kituo cha kupoza umeme Ubungo

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam na Visiwa vya Zanzibar kuwa kumetokea hitilafu ya dharula ya kiufundi katika moja ya transfoma kwenye Kituo cha chetu cha Kupoza Umeme cha Ubungo baada ya waya kukatika na kusababisha...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kijiji cha Nabweko, Ukerewe hatuna umeme wa TANESCO wala maji ya uhakika tangu Uhuru

    Wananchi wa Kijiji cha Nabweko, kilichopo Kisiwa cha Irugwa, Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa za huduma za msingi. Kwanza, tangu Tanzania ipate uhuru, kijiji chetu hakijawahi kufikiwa na huduma ya umeme wa TANESCO. Hadi leo, wananchi wanalazimika...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, umeme ni WA grid ya Taifa unakatika masaa 5, usalama wa nchi u wapi?mwizi wa RASIRIMALI akiukata anatuua wote

    Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani. Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash? Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
Back
Top Bottom