uhaba wa mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa mafuta unatokea wapi?

    Nimepitia kwenye account moja ya instagram [WORLD DATA RANKING] naona hapa nchi 50 duniani ambazo huzalisha mafuta kwa wingi,ndipo nikaja kujiuliza huu uhaba wa mafuta unatoka wapi? Yaan kwa nchi hizi 50 duniani ambazo ndio zinaongoza kwa uzalishaji wa mafuta sidhani kama tungefikia hatua hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tunduru wapinga mpango wa Rais Samia kubana matumizi hasa kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa. Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo. Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
  3. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Kwa waziri (serikali), na raia - uhaba wa mafuta ya kupikia

    Wasalaam watu wa Mungu, Pasi na kuchelea twende sanjali kwenye mada. Uhaba wa mafuta ya kupikia kero ya miaka mtawalia. Ni fursa ya uwekezaji kwa biashara ya muda mrefu hata kwa mtaji mdogo au mkubwa. Mchanganuo. Mahitaji ya mafuta Tanzania kwa sasa ni 600,000MT na uzalishaji ni ~200,000MT...
  4. uran

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Mafuta ya Petrol na Diesel Dar es Salaam Mchana huu Oktoba 16

    Wakuu mjini hakuna mafuta kabisa. Inakuwaje? Uhaba wa gafla bin vuu.
  5. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imejipangaje kukabiliana na uwezekano wa kutokea uhaba wa mafuta mkubwa duniani kutokana na mzozo unaoendelea katika ghuba ya Uajemi?

    Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mafuta ni jinamizi lingine linalosumbua baada ya sukari

    Kuna vigogo wanatumia shida za wananchi kuishi kama wako peponi kupitia huduma za jamii. Mafuta ni tatizo lingine linalosumbua maskini na kufanya waishi maisha ya juu. Kwa sasa matajiri wanazuia mafuta kushinikiza bei ipande na wanaficha makusudi kabisa. Pita leo baadhi ya vituo utaambiwa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yajibu madai kuwa kuna uhaba wa Mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa SRG

    Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi. Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yakumbwa na uhaba wa mafuta, ilhali ndio inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta

    Japo inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta lakini vinu vyake vimekumbwa na matatizo, haviwi maintained, na anguko la hela ya Urusi yaani ruble kumechangia pakubwa...... Hawa wazungu wa Urusi sijui kwanini waliingia kwenye huu uzombi, walikua vizuri sana, wamekua kama waarabu sasa. Empty...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia suala la uhaba wa mafuta nchini

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq- Ratiba: Hati za kuwasilishwa Mezani Maswali kwa Waziri Mkuu Maswali ya kawaida Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu...
  11. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Mafuta na Dola, nashauri Rais atumie fursa ya Mkutano wa Afrika na Urusi

    Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa mafuta unaisogelea Dar, bei ya Petroli kwa Kibaha yapanda kutoka Tsh. 2,700 hadi 3,700 ghafla

    Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo. Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Mafuta unazidi kutisha

    Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same! Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa. Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania EWURA wakanusha uhaba wa mafuta nchini

    Baada ya wananchi kulalamika uhaba wa mafuta Kwa baadhi ya maeneo nchini, hatimae EWURA wametoa tamko na "mkwara" kuwa mafuta yapo na kwamba makampuni yanayoficha mafuta yakae "chonjo"! Imeenda hio. --- Pia Soma: - Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, Wananchi wanahaha kupata...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo nchini Kenya yakumbana na uhaba wa mafuta, gharama za usafiri zaongezeka maradufu

  16. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi zao la alizeti linaweza kupunguza uhaba wa mafuta ya kupikia

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake Kilimo za alizeti...
  17. kadeti

    JamiiForums Tanzania Canola ni zao la mafuta linaloweza kuleta unafuu wa tatizo la uhaba wa mafuta Tanzania

    Canola ni zao la aina ya mmea jamii ya kunde; liligunduliwa uko Canada, na hili zao la canola limekuwa likilimwa zaidi ya miaka mingi sana uko Canada kabla ya kusambaa ktk bara zima la American. Hili zao limekuja kwetu Afrika mashariki zaidi limekuwa likilimwa Kenya hasa maeneo ya rift valley...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa mafuta ya kula ulaya

    Mzuka wanajamvi! Kwaanzia Uingereza, Ujerumani na nchi zote za skendinevia kuna uhaba wa mafuta ya kula. Kuadimika huko kumesababisha hadi bei kupaa. Bei ilishaanza kupaa kabala lakin vita ya Ukraine imeipaisha zaidi. Na yale ambayo bado yapo kwenye shelves za supermarket huruusiwi kuchukua...
  20. Fred Katulanda

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Canola (Rapeseed) kinaweza kutupunguzia uhaba wa mafuta ya kula

    Nimeangalia na kusona sehemu ya maandiko kuhusu mmea aina ya Canola au Rapeseed, ambao unaweza kuzalisha mafuta ya Kula zaidi ya Alizeti. Wenzetu Kenya wenye mashamba makubwa wameanza kulima, licha ya kuwapatia faida lakini kimekuwa ni kama kilimo cha muda kusaidia kurutubisha ardhi au...
Back
Top Bottom