TRC yajibu madai kuwa kuna uhaba wa Mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa SRG

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi.

Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi chochote

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Yapi Merkezi, Amisa Juma hakupatikana kuelezea madai hayo.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amezungumza na JamiiForums na kusema “Hakuna kitu kama hicho mradi unaendelea kama kawaida, tukiingia barabarani nadhani maneno yatapungua.”
 
Waliotoa hizo ni habari ni wafanyakazi walioko site . huyu yeye yuko ofisini pengine dar anasubiri kuletewa ripoti
 
Back
Top Bottom