Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,815
218,476
Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.

Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.

Screenshot_2023-10-24-12-15-39-1.png
 
Hii inasikitisha sana

Huku limkataba la bandari limepitishwa kwa lazima bila kujua kilichomo ndani

Waarabu wa DP world Dubai wamevamia nyanda za juu kusini kujenga misikiti

Kazi ipo?
 
Ndo uwekezaji wa wenzetu tukisema hawa DP watatuingiza ktk shida maCCM yanalazimisha.upuuzi kabisa
 
Hii inasikitisha sana

Huku limkataba la bandari limepitishwa kwa lazima bila kujua kilichomo ndani

Waarabu wa DP world Dubai wamevamia nyanda za juu kusini kujenga misikiti

Kazi ipo?
Nimemsikia Cha wa moja pale njombe anasema DP wanaenda kujenga hoteli sijui watz wanashindwa kujenga hivyo vihoteli? Vinamsaidia nn mtanzania maskini?
 
Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.

Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.

View attachment 2791181
Umenikumbusha mbali sana asee miaka ya 70 huko tulivyokuwa tunapanga foleni kununua pizza na burger. Ila nyerere alitunyanyasa sana.
 
Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.

Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.

View attachment 2791181
Watakuambia hiyo ni ishara ya kukua kwa purchasing power ya watanzania
 
Hii inasikitisha sana

Huku limkataba la bandari limepitishwa kwa lazima bila kujua kilichomo ndani

Waarabu wa DP world Dubai wamevamia nyanda za juu kusini kujenga misikiti

Kazi ipo?
DP world wajenge Barabara za lami Kila mtaa Jiji Mbeya maana kazi aliyoifanya Tulia siyo mchezo.
 
Nikijivika liroho la chadema hii inasikitisha sana, lakini nikirudi centre yaani nimelivua liroho hilo, this could be delayment, aidha gari zimechelewa kufika huko!
PICHA HII INANIPA TAFSIRI YA KWAMBA ENEO HILO VITUO NI VICHACHE VYA MAFUTA NA IWE FURSA KWA WAFANYABIASHARA NENDENI MKAWEKEZE HUKO!
 
Back
Top Bottom