EWURA wakanusha uhaba wa mafuta nchini

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,520
86,081
Baada ya wananchi kulalamika uhaba wa mafuta Kwa baadhi ya maeneo nchini, hatimae EWURA wametoa tamko na "mkwara" kuwa mafuta yapo na kwamba makampuni yanayoficha mafuta yakae "chonjo"!

Imeenda hio.

1689610231438.png
---
Pia Soma:
- Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, Wananchi wanahaha kupata huduma
 
Attachments

  • TAARIFA KWA UMMA _230717_181948.pdf
    205.5 KB · Views: 3
EWURA wanawaogopa hao wasambaza mafuta au nao Wana maslahi? Yaani unakiri kabisa kuwa wameficha mafuta halafu useme unatoa ONYO?!
 
Na akibanwa kwenye kona ataikanusha hata hiyo taarifa kwamba hakuitoa EWURA kwasababu haina signature wala muhuri unao thibitisha kwamba niwao ndio wamemtoa taarifa hiyo.
Awamu hii kilakitu kinaenda kihuni sana aiseee
 
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom