tpdc

The Tanzania Petroleum Development Corporation (Swahili: Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania) is the national oil company of Tanzania and owner of all licenses for energy development in the country. The company was established through the Government Notice No.140 of 30 May 1969 under the Public Corporations Act No.17 of 1969. The Corporation began operations in 1973. It is a wholly owned Government parastatal, with all its shares held by the Treasurer Registrar. In the summer of 2015, the Parliament of Tanzania passed three legislative Acts dealing with energy and directly impacting the company: the Petroleum Act 2015, the Tanzania Extractive Industry (Transparency and Accountability) Act 2015, and the Oil and Gas Revenues Management Act 2015.According to The Economist, "Estimates put the country’s reserves at a little over 50 trillion cubic feet of gas, a figure the government thinks may double as additional exploration wells are drilled, making them potentially a considerable potential source of revenue."

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Hivi ni kweli TPDC wanasambaza LPG? Au kuna makosa katika uandishi?

    Soma hapa: TPDC surveying LPG piping viability in Dar es Salaam By Francis Kajubi , The Guardian Published at 09:14 AM Apr 05 2024 TANZANIA Petroleum Development Corporation (TPDC) in collaboration with TAQA Dalbit Tanzania Limited is conducting a survey on the actual demand for liquefied...
  2. Stephano Mgendanyi

    Wabunge Wataka Deni la TPDC Lilipwe

    WABUNGE WATAKA DENI LA TPDC LILIPWE Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Dunstan Kitandula akiwasilisha bungeni maoni ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma leo Jumatatu Mei 31, 2023. Wabunge wataka...
  3. BARD AI

    Wabunge wataka deni la Tsh. Bilioni 720 la TPDC lilipwe

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Serikali kulipa deni la Sh720 bilioni mauzo ya gesi kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwenda Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambalo linaendelea kukuwa. Hayo yamesemwa leo Mei 31, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
  4. Mtemi mpambalioto

    TPDC mnakwamisha Mradi wa Gesi Asilia (CNG) kwa kumkomoa Rais Samia

    Serikali Kupitia Rais imepambana sana kuhakikisha miradi mikubwa inafunguka kwa ajili ya kunufaisha Watanzania wote. kwanini Mataragio na Genge lako hapo TPDC mnakwamisha mradi wa Gesi asilia? Mnazuia vibali vya makampuni kufungua vituo vya kujaza Gesi kwenye magari kwa maelekezo ya nani? Hata...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Rais Samia Umetubadilishia Mkurugenzi wa EWURA, tubadilishie na wa TPDC na PURA

    Nimeyazungumzia haya mashirika mawili yanayohusika na uendelezaji wa mafuta na gesi Tanzania. Tunaomba tubadilishie wakurugenzi wa hayo mashirika tuone mabadiliko katika sekta ya mafuta na gesi. Wakurugenzi wanakaa kwa muda mrefu sana, hapo inaweza kuwa ngumu kuona mabadiliko. Zoezi la...
  6. Dalton elijah

    Deni la TPDC

    DENI LA TPDC Huu ni mkopo wa shirika kupitia hazina kutoka EXIM BANK CHINA kwaajili ya mradi wa gesi wa mtwara na songo songo kuja Dar lakini ilipofika DAR badala ya kumalizia usambazaji wa gesi kwa watumiaji ili wapate hela waanze kulipa deni wamebadili mradi sasa wanazungumzia LNG !! Laini...
  7. BARD AI

    TPDC inatarajia kuanza usambazaji wa Gesi asilia nchi nzima

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema limeandaa mpango maalumu wa kuanza kusambaza nishati ya gesi asilia kupitia mabomba makubwa kwa lengo la kuwafikia wateja wengi katika mikoa mbalimbali nchini. Mtaalamu wa idara ya mafuta na gesi kutoka TPDC, Mhandisi Eva Swilla amesema...
  8. Mpwayungu Village

    Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

    Yani kuna ugumu gani wa kazi kwenye hili shirika? Maana anayeanza kazi tu anakomba mpaka million tano kwa mwezi. Ni mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu. Ina maana kazi yao inaendana na kiwango cha mshahara? Dogo kaingizwa juzi tu kimagumashi hana hata miaka mitatu tayari kashusha Prado mpya zero...
  9. Getrude Mollel

    TPDC kujenga Bomba jipya la gesi Mtwara

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35...
  10. Getrude Mollel

    Hongereni TPDC kwa hatua kubwa kama hii

    Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma. Lengo la kujenga kituo cha CNG (Compressed Natural Gas) ni kurahisha upatikanaji wa gesi katika...
  11. Roving Journalist

    Waziri January Makamba, ateua Wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa TPDC

    TAARIFA KWA UMMA Kufuatia uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kumteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), leo nimewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya Shirika hilo: 1...
  12. J

    Bei za Mafuta: Spika Tulia asema Bunge ndio linatunga Sheria sasa kama Serikali haitekelezi basi kuna tatizo kubwa

    Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda. Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC...
  13. Mukulu wa Bakulu

    TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi. TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi. Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
  14. J

    Mwenyekiti wa zamani wa PAC Zitto Kabwe aliwahi kuamuru polisi wamuweke ndani DG wa TPDC

    Kuna watu wanadhani na kuamini kwamba Zitto Kabwe ni kiongozi asiyependa ubabe, wanakosea sana. Zitto Kabwe ni mbabe kupita hayati Magufuli. Zitto Kabwe aliwahi kumsweka ndani mkurugenzi wa TPDC kwa jambo ambalo lilihitaji mjadala tu na alipohojiwa alisema katiba ndio imempa Madaraka hayo...
  15. Replica

    Mkurugenzi TPDC abadili gia angani, asema hakuna uhaba wa mafuta nchini

    Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari. Mapema January Makamba alikanusha Tanzania kuwa na uhaba wa mafuta na kumtaka mkurugenzi huyo kwenda...
  16. Replica

    Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

    January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei. Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya...
  17. Analogia Malenga

    TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

    Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk. James Mataragio, alibainisha hayo jana mkoani Dar es Salaam, akitafsiri kwamba ni hali inayoiweka nchi katika hali ya hatari endapo hatua zinazokwenda kuchukuliwa hazitafanikiwa. “Hivi karibuni kumekuwa na upandaji wa bei ya mafuta na hii inatishia usalama wa...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Waziri Makamba tunasubiri uifumue na TPDC na EWURA

    Kwako waziri wa nishati, Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO. Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
  19. Capsicum

    TAKUKURU mulikeni mchakato wa ajira za TPDC uliosimamiwa na TAESA

    Straight to the point. TAKUKURU hebu kwa heshima na taadhima nawaomba mkafuatilie huu mchakato jinsi ulivyofanyika maana una viashiria vya RUSHWA ndani yake, kwanini nasema hivi:- 1) Hakukua na tangazo la ajira publicly watu waliitwa kwa kupigiwa simu kwenda kufanya usaili. 2) Baada ya usaili...
  20. I

    Mtu aliyezaliwa 1987 anaweza kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umma kama TPDC?

    unajua kuna vitu vinafikirisha sana. mtu aliezaliwa 1987 (japo sura yake anaonekana ni 1977,1978, 1979) anaweza kuwa mkurugenzi wa shirika kama tpdc? modi msifute au kuunganisha. nataka tuende kwa mifano ya hapa kwetu kama yapo mashirika yenye maDG ya mtu wa 1987 or above.
Back
Top Bottom