Urusi yakumbwa na uhaba wa mafuta, ilhali ndio inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,439
Japo inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta lakini vinu vyake vimekumbwa na matatizo, haviwi maintained, na anguko la hela ya Urusi yaani ruble kumechangia pakubwa......
Hawa wazungu wa Urusi sijui kwanini waliingia kwenye huu uzombi, walikua vizuri sana, wamekua kama waarabu sasa.

Empty petrol tankers wait to fill up at a tanker filling station some 30kms outside Moscow

Empty petrol tankers wait to fill up at a tanker filling station some 30km (18 miles) outside Moscow April 27, 2011. REUTERS/Alexander Natruskin/File photo Acquire Licensing Rights

  • Summary
  • Oil plants repairs, weaker rouble spark fuel crunch
  • Fuel wholesale prices jump, retail prices are capped
  • Government works to solve crisis by trying to curb exports
MOSCOW, Aug 31 (Reuters) - Russia, one of the world's biggest oil producers, has faced shortages of fuel crucial for gathering the harvest in some parts of its southern breadbasket and the situation may get worse in coming months, market sources told Reuters.

Traders said that the fuel market has been hit by a combination of different factors including maintenance at oil refineries, infrastructure bottlenecks on railways and the weaker rouble which incentivises fuel exports.

Russia has tried to tackle diesel and gasoline shortages over recent months, contemplating export curbs as the last-ditch attempt to prevent a serious fuel crisis - which is sensitive for the Kremlin ahead of a presidential election in March.

A government decision to cut subsidies for refineries is likely worsen the availability of fuel in the world's biggest grain exporter.

Regional oil product depots in Russia's southern regions have had to cut or even suspend fuel sales, while retail filling stations were forced to limit fuel sale volumes to customers.
 
Urusi wanapita njia ambayo walipita Zambabwe. Kwa sababu
Zamani Zimbabwe ndio walikuwa wanaongoza kwa uchumi afrika lakini saizi Zimbabwe ipo makalio matupu.
Na saizi putin ameanza kutepweta mdogo mdogo kama hadi amefikia hatua kuomba msaada kwa kiduku kweli hali ni mbaya.
 
Japo inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta lakini vinu vyake vimekumbwa na matatizo, haviwi maintained, na anguko la hela ya Urusi yaani ruble kumechangia pakubwa......
Hawa wazungu wa Urusi sijui kwanini waliingia kwenye huu uzombi, walikua vizuri sana, wamekua kama waarabu sasa.

Empty petrol tankers wait to fill up at a tanker filling station some 30kms outside Moscow

Empty petrol tankers wait to fill up at a tanker filling station some 30km (18 miles) outside Moscow April 27, 2011. REUTERS/Alexander Natruskin/File photo Acquire Licensing Rights

  • Summary
  • Oil plants repairs, weaker rouble spark fuel crunch
  • Fuel wholesale prices jump, retail prices are capped
  • Government works to solve crisis by trying to curb exports
MOSCOW, Aug 31 (Reuters) - Russia, one of the world's biggest oil producers, has faced shortages of fuel crucial for gathering the harvest in some parts of its southern breadbasket and the situation may get worse in coming months, market sources told Reuters.

Traders said that the fuel market has been hit by a combination of different factors including maintenance at oil refineries, infrastructure bottlenecks on railways and the weaker rouble which incentivises fuel exports.

Russia has tried to tackle diesel and gasoline shortages over recent months, contemplating export curbs as the last-ditch attempt to prevent a serious fuel crisis - which is sensitive for the Kremlin ahead of a presidential election in March.

A government decision to cut subsidies for refineries is likely worsen the availability of fuel in the world's biggest grain exporter.

Regional oil product depots in Russia's southern regions have had to cut or even suspend fuel sales, while retail filling stations were forced to limit fuel sale volumes to customers.
Kwamba wanazalisha mafuta alafu hapohapo wanauhaba wa mafuta kweli huna akili.
 
China wenyewe wameanza kupumulia mdomo na sasa hivi wakikimbia kidogo wanajishika magoti huku wakipoteza mipira hovyo, ndiyo itakua huyo Power Kitambi Mrusi?
Kwenye mchezo wa Uchumi Russia anaenda kuwa 'ball boy'😀
 
kwamba anaitetea dunia kwa kuivamia ukraine ? hv una akili timamu ? hv kati ya ukraine na russia nan ni htr kwa usañama wa dunia? Russia ana makolon na kavamia nchi nying tu je ukraine kafanya hivyo?
Ndiyo alivamiwa Ukraine kwa sababu ya NATO au Marekani ni wajinga wachache hawalioni hili.marekani anataka atawale ulimwengu mzima bila pingamizi lolote.kwa hiyo anatafuta namna ya kumdhoofisha urusi lakini ameshafeli ni wajinga wachache hawaoni kuwa hii ni proxy war Kati ya urusi na Marekani.
 
Ukraine kushirikiana kijeshi na Marekani ni sawasawa Mexico au cuba kushirikiana kijeshi na urusi kitu ambacho Marekani hatakubali.hizi nchi kubwa haziwezi kuhatarisha uwepo(existence) Kwa kumkaribisha mpinzani wake karibu yake.nato iliendelea kuxpand na urusi hataki Ukraine kuingia NATO.wajinga wachache wanatakiwa kuelewa kwamba hizi nchi kubwa hazikurupuki.marekani waliweka mpaka maabara Ukraine kuwachunguza kisayansi warusi.
 
Nyie mnapiga kelele huko Urusi mambo yanaenda kama kawaida.mmesahau kuwa mlimpa Urusi miezi sita tu atakuwa kwisha habari yake.

Vikwazo vimesababisha wagombane wao kwa wao.shoga wa dunia kamua kuficha dollar akajua itasaidia kumbe kashachelewa.biashara sasa zinafanyika kwa ela nyingine tofauti na dollar
 
Ndiyo alivamiwa Ukraine kwa sababu ya NATO au Marekani ni wajinga wachache hawalioni hili.marekani anataka atawale ulimwengu mzima bila pingamizi lolote.kwa hiyo anatafuta namna ya kumdhoofisha urusi lakini ameshafeli ni wajinga wachache hawaoni kuwa hii ni proxy war Kati ya urusi na Marekani.
Kwa hiyo ainuke kumpangia Ukraine mtu wa kushirikiana naye?
Kwamba kwako wewe ni sahihi jirani yako akupangie ndugu na marafiki wa kushirikiana nao na yeye ndiye aaamue nani atamruhusu aishi ndani mwako na wewe unakubali tu kama boya?
 
Ha
Nyie mnapiga kelele huko Urusi mambo yanaenda kama kawaida.mmesahau kuwa mlimpa Urusi miezi sita tu atakuwa kwisha habari yake.

Vikwazo vimesababisha wagombane wao kwa wao.shoga wa dunia kamua kuficha dollar akajua itasaidia kumbe kashachelewa.biashara sasa zinafanyika kwa ela nyingine tofauti na dollar
Hakuna aliyempa Russia miezi 6, ila kila mtu anajua mwisho wake
 
Kwa hiyo ainuke kumpangia Ukraine mtu wa kushirikiana naye?
Kwamba kwako wewe ni sahihi jirani yako akupangie ndugu na marafiki wa kushirikiana nao na yeye ndiye aaamue nani atamruhusu aishi ndani mwako na wewe unakubali tu kama boya?
Kwa mfano urusi akiamua kushirikiana kijeshi na cuba au Mexico Marekani atafanyaje?wewe jua kwamba hizi nchi kubwa lazima zifanye kila kitu kutunza uwepo wao.kwa hiyo hata ikibidi nyie nchi ndogo mtapangiwa tu.mbona Marekani mwenyewe anawapangia majirani zake nani wa kushirikiana kijeshi?uhuru unamipaka yake.
 
Back
Top Bottom