alizeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zouzoutz

    Ujugu Arena: Umetoka kupakwa mawese,Leo unapakwa alizeti na tarehe 20 unapakwa parachute

    Siyo Mimi Mjumbe hauwawi NB: Miye ni mwanayanga ila Nina wasiwasi na hiyo tarehe 20 matokeo yanaweza kuwa kinyume Yanga anaweza chezea parachute Aahaaaa Ihefu msiniangushe,zile tano tulizowaparachute nazo ebu zilipeni hapa GGIhefu aka Singida Black. Stars
  2. simbampole

    Nina alizeti nataka kukamua

    Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua mafuta. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
  3. Roving Journalist

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama...
  4. R

    Je, serikali itaruhusu mafuta ya Alizeti kutoka Marekani yaingizwe nchini na kupelekwa Dodoma wakati Singida wauzaji wanakosa soko?

    Waziri Bashe ameongea kuhusu msaada wa mchele na mafuta kama vile yeye siyo waziri mwenye dhamana. Anaonyesha kushtushwa na mchele huo na mafuta kuingizwa nchni. Je, kama sovereign state tutaruhusu kuletewa mafuta ya alizeti ambayo hata Dodoma na Singida yapo? Hii misaada nani huwa anakwenda...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika shughuli zao za kila siku ikiwemo kilimo cha Alizeti, Kahawa, Ndizi pamoja na Shughuli za Utalii kwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu

    Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata mazao ikiwemo mazao ya karanga, ufuta na alizeti. Haya yamebainishwa bungeni...
  7. S

    Mafuta bora ya alizeti kwa mapishi yote

    Mwana JF, Je Wajua? Kuchakata mafuta ya alizeti au mafuta mengine yoyote ya mimea (oil refinery) ni hatua muhimu sana katika kuhakikisha ubora wa mafuta kwa matumizi ya binadamu. Je, unafahamu faida za mafuta yaliyochakatwa (refined oil) ukilinganisha na yale yasiyochakatwa? Kuchakata mafuta...
  8. MOSintel Inc

    Nauza mafuta ya Alizeti kwa nei ya jumla kwenye madumu ya Lita 20 (NAVUNJA BEI)

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu). Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  9. U

    Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara. Asante.
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

    MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023. Wakulima hao wamesema...
  11. Paulinek

    Huduma ya kukamua mafuta ya alizeti

    Natafuta watu wanaofanya huduma ya kukamua mbegu za alizeti Dar.
  12. M

    Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  13. J

    Mbeya na Rukwa: Natafuta wanunuzi wa alizeti

    Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875 Karibuni sana, bei ni maelewano. Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
  14. J

    Natafuta wanunuzi wa mbegu za alizeti

    Habarini wadau ninauza mbegu za alizeti safi kabisa, zina mafuta mengi. Zipo Mbeya Mjini na bonde la Rukwa. MAWASILIANO ni 0769902875, Bei ni nzuri na bei ni maelewano Nb: Mbegu ni mpya za mwaka huu zimetoka shambani
  15. Faana

    Je, ni sababu gani ya Kisayansi hufanya maua ya alizeti kugeukia mashariki wakati wa kuchanua?

    Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
  16. S

    Bei ya alizeti

    Habari Aise naombeni kujua bei ya alizeti. Tafadhalini
  17. A

    Tunauza Alizeti kwa bei ya jumla

    Ninauza Alizeti, Mashudu ya Alizeti, Mafuta ya Alizeti. Pia, ninayo mahindi mapya mwaka huu, na Mahindi ya mwaka Jana. Alizeti ni ya mwaka Jana. Karibuni sana waungwana. Pia, Kwa ushauri wa kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Mahindi, Dengu na karanga
  18. 90sgeneration

    Mafuta ya alizeti - lita 20-72,000

    Kwa anaehitaji mafuta ya alizeti pure. Lita 20 - 70,000 Lita 5 - 22,000 Karibu sana: Kwa walioko Daresalaam tu. Call: 0752329591.
  19. K

    Nauza Mafuta ya Alizeti mazuri sana

    Nauza mafuta ya alizeti kwa jumla na rejareja. Dumu la 5ltrs kwa 25,000 tu na 20ltrs kwa 96,000 tu. Mzigo upo Sinza, Dar.
  20. Iziwari

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi. Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds. Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
Back
Top Bottom