kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 994
- 868
Canola ni zao la aina ya mmea jamii ya kunde; liligunduliwa uko Canada, na hili zao la canola limekuwa likilimwa zaidi ya miaka mingi sana uko Canada kabla ya kusambaa ktk bara zima la American.
Hili zao limekuja kwetu Afrika mashariki zaidi limekuwa likilimwa Kenya hasa maeneo ya rift valley, Canola limekuwa zao mbadala wa zao la aina ya Alzeti, kwa kiasi kikubwa hili zao la canola limekuwa zao ambalo linatoa faida nyingi sana kwa wakilima, kwanza kabisa hili zao la canola linachukua muda wa siku 85-90 kuweza kuvunwa ni takriban miezi mitatu.
Hili zao limekuwa likitumika kama zao mbadala/ zao mzunguko(crops rotation) kwa maana baada ya kuvuna canola basi udongo wa shamba lako hupata rutuba nyingi sana pamoja na mbolea, kwa ufupi hutumika sana km crops rotation. Pia huvumila magonjwa.
Baada ya kuvunwa kwa canola huwezwa kukamuliwa mafuta mazuri na yasiyo na colestrol km mafuta mengine, baada ya kukamua mafuta kinachobaki ni kitu kinaitwa Canola cake, ambayo hutumika kulishia mifugo na kuwapa Afya wanyama.
Kwa anayeitaji kulima hilo zao naomba tuwasiliane.
Zaidi ntaendelea kutoa elimu juu ya Canola.