james mataragio

  1. BARD AI

    Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, amemteua Dkt. James P. Mataragio, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mataragio anachukua nafasi ya Athumani Selemani Mbuttuka ambaye Uteuzi wake Umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine Kabla ya Uteuzi huu, Dkt. Mataragio aliwahi kuwa...
  2. Replica

    Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

    January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei. Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya...
  3. Papaa Mobimba

    Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio

    Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio. Mwaka 2016, BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ilimsimamisha kazi Dr. Mataragio na Wakurugenzi wengine wanne ili kupisha uchunguzi wa...
  4. Mlachake

    Mkurugenzi mtendaji TPDC, Dkt. Mataragio asimamishwa kazi

    Kuna tetesi nimezipata kwamba Wakurugenzi wanne TPDC akiwemo MD wamesimamishwa na body ya wakurugenzi kupisha Uchunguzi wa Ufisadi kwenye moja ya manunuzi. Hii imetokea kwenye kikao kilichofanyika jana jioni na leo wameamriwa by saa mbili asubuhi wawe wamekabidhi ofisi
Back
Top Bottom