safari za ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu

    Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu. Panya huyo aliyejificha bila kupatikana kwa siku tatu, alionekana kufurahia safari ya ndege ya Srilankan Airlines Airbus A330 kutoka mji wa Lahore, nchini Pakistan siku ya...
  2. mwanamwana

    Shirika la ndege la taifa la Israel kusitisha safari za ndege kuelekea Afrika Kusini

    Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya wateja. “Kutokana na hali ya usalama ilivyo sasa, kumekuwa na upungufu mkubwa wa mahitaji ya wasafiri...
  3. MK254

    Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  4. R

    Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  5. Jackal

    Safari za ndege zasitishwa kwa muda Jijini Moscow sababu ya mashambulizi ya drones za Ukraine

    At least seven people, including a child, were killed and 129 were wounded in a Russian missile strike on the northern Ukrainian city of Chernihiv on August 19, Ukraine's Interior Ministry said, while President Volodymyr Zelenskiy said a "terrorist state" had carried out the attack and caused "a...
  6. ChoiceVariable

    Rais Samia Afanikisha Kuanza Kwa Safari za Ndege za Moja kwa Moja Kati ya Dar to Riyadh

    Haya ndio matunda ya Ziara ya Rais Samia aliyofanya Nchini Saudi Arabia Mwaka Jana.Hakika Rais Samia Huwa hafanyi ziara za hasara. Sasa ni masaa 5 tuu kufika Saudia.Hii ndio maana ya kuifungua Nchi. ===== Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya...
  7. JanguKamaJangu

    Mauritius yasitisha safari za ndege wakati Kimbunga Freddy kikisogea

    Mauritius pia imefunga soko lake la hisa wakati upande wa pili Madagascar imeandaa timu za dharura kwa ajili ya mvua kubwa, mafuriko na maporomoko ya ardhi. Kimbunga Freddy kina upepo mkali unapenda kwa kasi ya mpaka kilomita 120 kwa saa, ambapo angalizo limetolewa kutokwenda maeneo ya baharini...
  8. Faana

    Safari za ndege za masafa marefu zinaweza kuathiri vipi mwili wako?

    Qantas imetangaza kuwa itazindua safari za ndege za moja kwa moja kutoka pwani ya mashariki ya Australia hadi London, Uingereza kutoka mwisho wa 2025, na muda wa ndege wa zaidi ya saa 19. Kwa kulinganisha, ndege za sasa huchukua saa 24, lakini kwa kuunganisha ndege, imegawanywa katika safari...
  9. L

    Timu ya angani ya Red Bull "Tai Mwekundu" yafanya maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China

    Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya pili huko Nanchang, mkoani Jiangxi. Mkutano wa Sekta ya Usafiri wa Anga ya China na Maonesho ya Ndege...
  10. M

    UZUSHI ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Inasemekana kuwa ATCL imefuta safari zake kuelekea Chato kutokana na ukosefu wa Abiria wa Kutosha.
  11. Lady Whistledown

    Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
  12. Miss Zomboko

    #COVID19 Morocco yasitisha safari za ndege kwa wiki mbili

    Wizara ya mambo ya nje ya Morocco imesema kwamba kuanzia Jumatatu itasitisha safari za ndege kuingia nchini humo kwa muda wa wiki mbili. Hatua hiyo ni kutokana na aina mpya ya virusi vya corona vya Omicron. Kwa mijibu wa shirika la habari la AP, Wizara hiyo imesema kwamba hatua hiyo ni ya...
Back
Top Bottom