mafuta ya kupikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama...
  2. Melki the Storyteller

    Tukio la kutisha: Tuweni makini na mafuta ya kupikia. Kuna mtoto kaharibiwa sura

    Sambamba na hilo: • Nimeambulia kipigo ndoige kutoka kwa mwananchi mwenye hasira kali kwa kuwa nimeshuhudia tukio • Nimepoteza mpenzi papo hapo Somewhere in Dar es salaam Pembezoni mwa fremu moja ambayo hutumika kwa ajili ya wateja wa mama ntilie x kupata msosi, kuna mwanamama ambaye hukaanga...
  3. Lady Whistledown

    Kilwa: Maafisa TRA hatiani kwa kukadiria kodi madumu 200 kati ya 500 ya Mafuta ya kupikia

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa imewatia hatiani Maafisa Forodha wa TRA Wilayani humo, Sultan Ali Nasor na Silver Maximillian kwa makosa ya Matumizi Mabaya ya madaraka na kutofanya Tathmini Sahihi ya Kodi iliyosababishia Mamlaka Hasara ya Tsh. Milioni 9.269. Washtakiwa walifanya tathmini ya kodi...
  4. Stephano Mgendanyi

    Tuwawezeshe JKT hatutaagiza tena mafuta ya kupikia

    MBUNGE COSATO CHUMI - TUWAWEZESHE JKT HATUTAAGIZA TENA MAFUTA YA KUPIKIA Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, Mhe. Cosato Chumi akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa iliyosomwa na Waziri Mhe. Innocent Bashungwa bungeni jijini Dodoma "Narudia tena, wawezesheni...
  5. H

    Natafuta chimbo la mafuta ya kupikia ya Mico Gold

    Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama. Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja wangu.
  6. CHASHA FARMING

    Blue Band wanazalisha mafuta ya kula ya Canola

    Kampuni ya Blueband ya Kenya ambauo ina product yao maarufu ya Margarine ya kupaka kwa mikate kwa sasa wana zalisha pia mafuta ya kula yatokanayo na Canola. Wamekuwa wanapata Canola kutoka kwa wakulima wao na nyingine huagiza nje ya nchi.
  7. V

    Jinsi zao la alizeti linaweza kupunguza uhaba wa mafuta ya kupikia

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake Kilimo za alizeti...
  8. bryan2

    Nchi yenye kilomita za mraba kadhaa mafuta ya kupikia yanakuwa shida

    Its wonder kila kitu kipo juu ukiuliza kwanini wanakwambia VITA sawa ni vita je serikali imekuja na mipango gani kwa hiyo mtaachia wafanyabiashara waendelee kupandisha bei za vitu kisa vita hakuna tamko la kukemea vitu kupanda bei bali kuna tamko la kubariki viendelee kupanda. Kupanda bei kwa...
  9. Replica

    Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  10. Shark

    Mafuta ya kupikia yaadimika mitaani

    Kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais na pengine yeye hajui hili. Kwa sasa huku mitaani mafuta ni adimu sana, na pale ambapo yanapatikana basi bei yake haishikiki. Dumu/Ndoo ya Lita 20 iliyokua ikiuzwa TZS 70,000/- mwezi wa sita mwaka jana leo inauzwa TZS 140,000/- Aliekua Waziri wa Kilimo...
  11. M

    Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

    Wapenda chips mnalishwa Sumu bila kupenda, haiwezekani mafuta ndoo ya 10ltrs iuzwe 75,000 TZS kutoka 38,000 TZS (ongezeko karibia 100%) Ila chips mtaani Bei Ile Ile. Wafanyabiashara hao wamejiongeza Kwa gharama za mlaji. STUKA
  12. 2019

    Mafuta ya kupikia yazidi laki 1

    Nchi hii Ishakuwa shamba la bibi,ukipata fursa piga tuuuu...hakuna mzalendo tena,kila mtu anaangalia urefu wa kamba yake
  13. jebs2002

    Petroli bei juu. Mafuta ya kupikia bei juu. Mazagazaga bei juu. Maji ya kutumia hakuna. Umeme kukatika hata mara 5 au 6 kwa siku!

    Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
  14. Carleen

    Mchele mzuri kabisa pamoja na mafuta ya kupikia ya alizeti yanapatikana

    Hi guys, Kwa mchele mzuri kabisa, ambao ukipika kiubwabwa chako kwanza kinakuwa kitamu pili kinanukia mpaka mtaa wa 7 huko, usisite kutuagiza, bei inaanzia 1500/= tu kwa kilo moja. Pia tuna mafuta safi na khalisi kabisa ya alizeti Lita 3 kwa tsh. 17,000/= na Lita 5 kwa tsh. 28,000/= tu za...
  15. 2019

    Dumu la lita 20 mafuta ya kupikia sasa ni Tshs 90,000, bado yanaenda juu

    Kwa style tunayoenda nayo Magufuli lazma akumbukwe bila kupenda. 1. Tozo 2. Bei ya vitu kupaa 3. Serikali haina kauli 1 tena. 4. Wakazi wa Dodoma 5. Wenyeji wa Chato Yaani mwanaume mwanaume tu. Wengi tulimchukia sana Magufuli lakini hata kama hatokumbukwa lakini kimoyo moyo lazma umkumbuke...
  16. G

    Athari za mafuta ya kula yaliyoharibika (rancidity)

    RANCIDITY NI NINI? Rancidity ni hali ya kuharibika kwa mafuta ya kupikia au mafuta yaliyo katika vyakula mbalimbali kama vile samaki au nyama kutokana na jinsi yanavyotumika, kuhifadhiwa au kupita muda wake wa matumizi (expired). Katika kuharibika hutoa kemikali ambazo ni hatari kwa afya ya...
  17. Matendo Andrew

    TBS, Mafuta ya kupikia yanatoa povu. Je, yameisha muda wake?

    Mimi ni mjasiliamali muuza chipsi LAKINI wahusika tunaomba MSAADA WENU wa kiuwajibikaji fuatilieni mafuta yakula yanayoingia sokoni Kuna ambayo yanakua yanakasoro hivyo yanatusababishia hasara yanamwagika na tunapata tabu ya kimatumizi. Aidha hatujajua mafuta haya yatakua na madhara kiasigani...
  18. P

    Bei ya Mafuta ya kupikia bado iko juu sana

    Jana nimenunua mafuta ya kupikia hapa Ubungo - River Side. KORIE dumu la lita 20, shillingi 79,000/=. Hayo mafuta yaliyoingia bandarini ya kutosha matumizi ya miezi sita yako wapi? Au ni wafanyabiashara wakubwa wameficha mzigo ili bei iendelee kuwa juu? Prof Kitila mkumbo na naibu wake si...
Back
Top Bottom