Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025

Screenshot_20231224-222345.png
 
Ulisoma vigezo vyote ukavielewa?
Kuna nafasi nne, nafasi tatu zitachukuliwa na timu mabingwa ambapo Al Ahly na Wydad tayari wamefuzu bado nafasi moja ya bingwa wa msimu huu.
Timu zote 16 ambazo zinacheza hatua ya makundi kwasasa zote zinawania nafasi ya kucheza kombe la dunia 2025.
Kisha kutakuwa na nafasi ya timu moja pekee ya kuchukuliwa upande wa ranking, ambapo itachukuliwa timu ambaye sio bingwa ila mwenye rank kubwa kwenye CAF kuliko wengine
 
Ulisoma vigezo vyote ukavielewa?
Kuna nafasi nne, nafasi tatu zitachukuliwa na timu mabingwa ambapo Al Ahly na Wydad tayari wamefuzu bado nafasi moja ya bingwa wa msimu huu.
Timu zote 16 ambazo zinacheza hatua ya makundi kwasasa zote zinawania nafasi ya kucheza kombe la dunia 2025.
Kisha kutakuwa na nafasi moja ya kuchukua upande wa ranking, ambapo itachukuliwa timu ambaye sio bingwa ila mwenye rank kubwa kwenye CAF kuliko wengine
Horaya nao wanacheza CAF CL msimu huu?
 
Nioneshe Yanga kwenye hii list namimi nitakuonesha Shabiki wa Yanga mwenye akili
View attachment 2852056
Kumbe inapofikia swala la Simba na Yanga akili zinakutoka kiasi kwamba hata jambo lililowazi haulielewi. Hiyo iliyowekwa hapo sio kwamba ndio lazima itakuwa hivyo ilivyowekwa bali kutakuwa kuna mabadiliko kulingana na timu zitakavyo perform kwenye CAFCL. Kama tukitumia kwa dhana iliyowekwa hapo inamaana inatafutwa timu moja tu ambaye ni bingwa mpya wa CAF champions league kwasababu tayari kuna nafasi tatu ambayo ni Wydad, Al Ahly na Mamelod ambaye ndiye anayesimama upande wa kuwa juu kwenye upande wa rank.
Je unaweza kuniorodheshea timu zinazowania ubingwa wa CAF champions league msimu huu au hujui kama moja ya tiketi ya kushiriki hiyo michuano ni kubeba ubingwa wa CAFCL?
 
Mbona maelezo yamekuwa mengi kama utetezi wa mshika hazina baada ya kula hela za wanachama?

Yani timu iliyoshimdwa kufikisha pointi 30 ina ndoto ya kushiriki World Cup kwa kuchukua ubingwa CAF Champion league?

Ebu niambie we mwenyewe hujacheka hapo?
 
Nioneshe Yanga kwenye hii list namimi nitakuonesha Shabiki wa Yanga mwenye akili
View attachment 2852056
We jamaa ni CHIZI? Husomi heading hapo juu? Timu hizo ni zile ambazo zinaweza zisichukue kombe lkn zinaweza kushiriki hiyo michuonao kutokana na Point. Na zipo ambazo ni lazima zichukue Kombe la Klabu Bingwa ndipo zishiriki hiyo michuano. Kwahiyo TP MAZEMBE au YANGA wakichukua UBINGWA hawatoshiriki hiyo michuano?? Una akili timamu wewe???
 
We jamaa ni CHIZI? Husomi heading hapo juu? Timu hizo ni zile ambazo zinaweza zisichukua kombe lkn zinaweza kushiriki hiyo michuonao kutokana na Point. Na zipo ambazo ni lazima zichukue Kombe la Klabu Bingwa ndipo zishiriki hiyo michuano. Kwahiyo TP MAZEMBE au YANGA wakichukua UBINGWA hawatoshiriki hiyo michuoano?? Una akili timamu wewe???
Jamaa yupo njema kichwani ila kwenye suala la yanga na simba anakua mpumbavu
 
Mbona maelezo yamekuwa mengi kama utetezi wa mshika hazina baada ya kula hela za wanachama?

Yani timu iliyoshimdwa kufikisha pointi 30 ina ndoto ya kushiriki World Cup kwa kuchukua ubingwa CAF Champion league?

Ebu niambie we mwenyewe hujacheka hapo?

Kwahiyo wewe umeona Yanga kuchukua ubingwa umeona haliwezekani, ila Simba kufikisha point kuizidi point za Mamelod au Es Tunis kwa gap ya point 30+ ukaona linawezekana? Yaani usimba na Uyanga unakutoa uwezo wa kufikiria kabisa.
 
Ukielewa maana ya neno Kolo au dunduka hilo halitokupa taabu.
 
Ulisoma vigezo vyote ukavielewa?
Kuna nafasi nne, nafasi tatu zitachukuliwa na timu mabingwa ambapo Al Ahly na Wydad tayari wamefuzu bado nafasi moja ya bingwa wa msimu huu.
Timu zote 16 ambazo zinacheza hatua ya makundi kwasasa zote zinawania nafasi ya kucheza kombe la dunia 2025.
Kisha kutakuwa na nafasi moja ya kuchukua upande wa ranking, ambapo itachukuliwa timu ambaye sio bingwa ila mwenye rank kubwa kwenye CAF kuliko wengine
Mamelod nae ameshafuzu.
 
Back
Top Bottom