FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Leo ni kilele cha ile siku pendwa ya Simba day ambapo inafanyika kwa mara ya 13 mfululizo. Tupo hapa kukuletea matukio yote muhimu toka Benjamin Mkapa national stadium.

Ungana nasi wanasimba wa Jf kusherekea pamoja nami nawaleta OKW BOBAN SUNZU

Mightier FORTALEZA

Na wengine wataungana baadae kidogo

Shughuli zilizopo
Burudani ya muziki
Mechi za utangulizi toka Simba queen na Simba u20

Utambulisho wa wachezaji

Simba vs Tp englaB mazembe

Ungana nas


Matokeo utangulizi
Simba U20 1-0 fonten gates
Simba queen 0-0
Faru 0-0 Tembo


Updates

Simba SC imeruhusu bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe kwenye mechi ya kirafiki katika kilele cha Simba Day 2021. Bao la TP Mazembe limefungwa na Baleke Jean.

Simba mechi ijayo atakutana na Yanga Septemba 25 kwenye ngap ya jamii.
=========


Burudani ya mpoki ni hatari,anatafsiri kifaransa hadi Raha
Wimbo wa taifa unaimbwa kwa vifaa maalumu

Wachezaji wanatambulishwa uwanjani

Morrson anakera balaah

FB_IMG_16320639300092003.jpg


FB_IMG_16320639237541815.jpg

Kikosi

FB_IMG_16320648003414751.jpg

Dakika ya 43,Ngoma kavu
 
Leo ili Simba waujaze uwanja wawaruhusu watu kuingia bure bila kujali ni shabiki Wa Simba au Yanga. Ningumu timu yenye mashabiki wengi wenye asili ya ki Hindi kuujaza uwanja wataifa kwakua idadiyao si kubwa.
 
Back
Top Bottom