Simba Sports Club Kuweni na mkakati wakuakikisha mnasajili wachezaji wakali!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
 
Nabi project ni 15 years Yanga kuchukua makombe yote sasa Makolo FC aka Mikia inabidi waingie chimbo Bush Star kuchukua kina Super Star Mzee Meko, Mapung'o, Kitatange, Huihui , Sapu nk. Yanga imeshawahi saini za Born town kina Aziz Ki, Morrison, Kambole nk

Tunataka Ngao ya jamii tuwapasue tena illi wafukuzwe Barabarani, MOooon, Boko Haram , Sokoni , Bandarini, Magari, Kagari, na yule asietolewa bwana Matofali!
 
Majina code kibao Kama Uzi wa Dark days
 
Simbba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
Unapataje wachezaji huna hela?
Huyu mama amekuwa nuksi kabisa,anabania pesa za Mo
 
nawakumbusha wachezaji Yanga wasijisahau kwa makombe kampeni ya ubingwa msimu ujao ni kuanza na ushindi Ngao ya jamii ili wapate hamasa na waendeleze unbeaten rekodi msimu ujao!

msimu ujao wajitume mara mbili ya msimu huu!
 
Nabi project ni 15 years Yanga kuchukua makombe yote sasa Makolo FC aka Mikia inabidi waingie chimbo Bush Star kuchukua kina Super Star Mzee Meko, Mapung'o, Kitatange, Huihui , Sapu nk. Yanga imeshawahi saini za Born town kina Aziz Ki, Morrison, Kambole nk

Tunataka Ngao ya jamii tuwapasue tena illi wafukuzwe Barabarani, MOooon, Boko Haram , Sokoni , Bandarini, Magari, Kagari, na yule asietolewa bwana Matofali!
Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga.
 
Attachments

  • FB_IMG_1655579378566.jpg
    FB_IMG_1655579378566.jpg
    31.8 KB · Views: 5
Idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga.
idadi ya mabondia inajaa Kolo FC! watu wanaumwa wana ghadhabu zimepitiliza!

Yanga inajua kushangilia na kukera acha kabisa! Fataki kama zote Sheikh Amri Abeid!
 
Nabi project ni 15 years Yanga kuchukua makombe yote sasa Makolo FC aka Mikia inabidi waingie chimbo Bush Star kuchukua kina Super Star Mzee Meko, Mapung'o, Kitatange, Huihui , Sapu nk. Yanga imeshawahi saini za Born town kina Aziz Ki, Morrison, Kambole nk

Tunataka Ngao ya jamii tuwapasue tena illi wafukuzwe Barabarani, MOooon, Boko Haram , Sokoni , Bandarini, Magari, Kagari, na yule asietolewa bwana Matofali!
Huyo mido kisheti hui hui anawafaa sana makolo pale kati labda tu akutane na miba za mkude
 
Back
Top Bottom