Katika eneo la Mbagala Kilungule, kuna changamoto kuhusu utaratibu wa ukusanyaji wa fedha za taka. Wananchi wanalalamikia kufikiwa na wakusanyaji wa ada hizo mara tatu au zaidi, huku wakipewa risiti zenye taarifa tofauti.
Wananchi wanapouliza kuhusu hali hiyo hawapati majibu ya kueleweka, na...
Inashangaza sana CRDB kulaumiwa na hizi nyumbu za ufipa. Risiti na payin slip ni mali ya mteja na benki haihusiki kabisa na hilo. Kama ni lawama apewe Salman kwa sababu yeye ndo alimwekea pesa Heche. Halafu nimeona branch ni LUMUMBA. Inawezekana Heche ni mwanaCCM mwenzetu na huwa anafika ofisi...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru.
Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, tunaomba msaada wa Mkuu wa Mkoa kufuatia ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru.
Tunakatwa ushuru wa kila siku bila kupewa risiti za malipo kama inavyotakiwa. Tunapodai kupewa risiti...
Habari wadau.
Nipo jirani na shule ya msingi MIBURANI ambayo ipo wilaya ya temeke, naona watoto wanachangishwa sana michango ya mlinzi, umeme, maji na siku ingine ya walimu ya kujitolea.
Kila mchango unalipiwa sio chini ya 2000, imagine mkondo mmoja tu wa darasa moja lina wanafunzi 80, na hapo...
Nimekutana na changamoto na askari wa usalama barabarani (Traffic Police) jijini Dar es Salaam mara kadhaa.
Kwanza, mara nyingi wanakuwa hawana mashine za kutoa risiti. Kila siku utasikia wanaeleza kuwa mashine zina changamoto, kisha huchukua taarifa za leseni na namba za gari kwa kupiga picha...
Kuna mambo ya kubadilishwa ili swala la ulipaji kodi kwenye makato ya risiti.
Kwa nini asilimia 18 zijumuishwe kwenye mauzo na kwa nini zisijumuishwe kwenye faida niliyopata.
Mfano umeagiza mzigo thamani yake yake mpaka hupo dukani 100000/= bei ya kuuza dukani 130000/=.
Mteja kataka risit na...
Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea.
Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na...
Raia wa China Xu Fuyu mwenye umri wa miaka 39 na mfanyakazi wake wa mgahawa wa Kibonge uliopo Kariakoo Dar esSalaam, Blandina Mwalutola mwenye miaka 24 wamehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni sita au kifungo cha miaka mitatu jela kwa kushindwa kutoa risiti ya kielektroniki, baada ya kutoa huduma...
Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost.
Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost.
Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
Kama kawaida kila nikipita pale kivukoni huwa naangalia mapungufu, nilianza na la chenji ya mia mia kutorudishwa. Na leo nimebaini abiria wakinunua tiketi pale dirishani pale sehemu ya kuscania inawekwa nyuma ya tiketi nyingine huku ikitunzwa vizuri bila kuharibiwa. Hii inamaanisha zinarudishwa...
Wakuu kwema?
Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua.
Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana.
Sasa muuzaji...
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameututaka uongozi wa TRC Dodoma kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti za malipo kwa abiria na kutatua kero ya msongamano wa abiria pindi wanapotoka stesheni.
Senyamule ameyasema hayo alipotembelea stesheni kuu ya Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) na...
Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani
-Haitumii wino wala haijazwi wino
-Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote.
-Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja
Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa .
Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?
Hii itapelekea wafanyabiashara ikiwemo wenye mitaji midogo kumiliki kifaa hiki na kukitumia. Nachukua mfano wa "lipa namba" ambapo wafanyabiashara wengi wameanza kuichangamkia hata bila promotion kubwa.
Bei ya EFD is highly exagerrated
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.