Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,904
Jamani naombeni msaada machine yangu ya efd imeniandikia call in service.
Nikitaka kutoa risiti hivyo inachukua muda kutoa
Nikitaka kutoa risiti hivyo inachukua muda kutoa
Duu hivi supplier mzuli kwa hapa dar ni wapiii maana machine ilinunuliwa mkoanimaana yake ipeleke mashine Kwa supplier wako ifanyiwe service
Peleka Pergamon
Tempering with EFD Machine is unacceptable.Mkuu nimekuelewa kinoma ivi hamnaga means ya solve tatizo mwenyewe