mwigulu lameck nchemba

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian economist and CCM politician, who serves as the elected Member of Parliament for Iramba West Constituency since 2010. On 31 March 2021, President Samia Suluhu appointed him as the Minister of Finance, replacing Philip Mpango, who was elevated to the position of Vice President of Tanzania. Before his current appointment, he served as the Minister of Law and Constitutional Affairs in the Tanzanian Cabinet, since May 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tumekuelewa, tutailinda amani ya nchi zaidi ya nyeti zetu

    Heko kwako kiongozi mchapakazi, msema ukweli na mzalendo wa kweli wa nchi yetu, Tanzania, Daktari Mwigulu Nchemba. Kila mahali unapopita tunakuelewa. Sisi wananchi, wakulima na wafugaji hatuna faida yoyote tunayoweza kupata kwa hawa wanaharakati uchwara wanaotaka kutugombanisha wenyewe kwa...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunaenda kufuta sheria ya kutaifisha mifugo, tumeona ina makosa mengi

    Julai 2, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Lameck Nchemba, akizungumza na wananchi wa Shirati wilayani Rorya mkoani Mara, ametangaza kuwa serikali inaenda kufuta rasmi sheria ya kutaifisha mifugo katika kikao cha Bunge la mwezi wa Tisa kinachoanza Agosti mwaka huu. Nchemba alieleza kuwa uamuzi huo...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Sina heshima na wanaharakati hata kidogo na sijali, ni wahalifu wa nchi hii

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwa ziarani Mkoani Mara, Julai 1, 2026 amewatolea uvivu wanaharakati mbalimbali nchini kwa kuweka wazi kuwa hana heshima nao hata kidogo na wala hajali kuhusu harakati zao. "Sasa kama hao wana harakati, wana harakati hawa, mimi sina heshima nao hata kidogo...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: David Kafulila ni kiongozi kijana, msomi na ana-exposure

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema agenda ya sekta binafsi siyo tu agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda muhimu na mtambuka ya taifa. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa mwaka wa Tanzania National Chember of Commerce...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba kama anasema Jumbe masaidizi wa Lissu ni michezo basi na Waliokufa October 29 walijipiga wenyewe risasi au ni michezo

    Mwigulu hakustahili kua hata Mbunge ukiacha kua waziri mkuu sema kwasababu ni mwanamtandao basi yuko pale kwasababu ya Jakaya Kikwete. Waziri mkuu Unawezaje kusimama na kuongea ujinga kama ule mbele ya kadamnasi ya watu? Kwamba siku hizi raia wa kawaida wanaruhusiwa...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba ukiwa waziri wa fedha tulikuonya kuhusu mfuko wa Road fund aya Sasa barabara 85% ni mashimo na TANROADS iko hoi

    Tulionya kuhusu mfuko wa Road fund ambao ulianzishwa na Magufuli kwa ajili ya barabara na kulipa Wakandarasi kwa wakati pesa zilikusanywa na kutunzwa kwenye huo mfuko wa road fund. Magufuli alikua na akili kwamba hata zikija...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Salamu za Heri ya Pasaka kutoka kwa Waziri Mwigulu Lameck Nchemba

    Salamu za Heri ya Pasaka kutoka kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche adai mahakama inatumika kumkandamiza Lissu

    Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche: "Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne, Leo ni miezi 11. Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

    Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea, Hodi Mkoa wa Katavi. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Dkt. Samia ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikian - Waziri Mkuu Nchemba

    Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 27, 2026 ———————————————————-...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwingulu: Pamoja na Viongozi wa dini tutajenga taifa lenye haki

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 18, 2026, ameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Anglikana la Roho Mtakatifu jijini Dodoma katika ibada ya Jumapili, ambapo amesisitiza dhamira ya Serikali ya kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini katika kulijenga Taifa lenye hofu ya...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mwigulu unapolalamika wananchi wako wanachonganishwa ili Mabeberu wachukue rasilimali za nchi hii, una mkakati gani kuhusu uranium, lithium?

    Kwa kifupi Lithium ipo Kilimanjaro, Uranium pale Namtumbo. hivi hamjui kwamba mkijifunga mkanda nyie wenyewe matumizi yenu na ma v8 yenu semina, warsha, kongamano safari za nje, malipo HEWA, mnaweza kupata pesa za kufanya project hizo kuliko kupayuka tu kwenye majukwaa na kulialia kwamba...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Wanatamani tugombane ili wapore Rasilimali zetu. Tanzania tuna Metric tani laki nane na tisini za madini ya Uranium

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa zipo sababu zinazofanya baadhi ya watu kuingilia mambo ya Tanzania, akibainisha kuwa wanajua nchi imegundulika kuwa na madini ya uranium na kuwa ya kwanza barani Afrika. Amesema madini hayo ni adimu na...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Tunaazimana hadi mafuta na wapinzani

    "Wewe huku unaambiwa komaa kamanda mpaka ufe, sisi [wabunge wa CCM na upinzani] tunaazimana mpaka mafuta." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Uyole, Mbeya
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atua na kuingia Kikomandoo mkoani Songwe Usiku huu

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean au waweza kumwita Mzalendo wa kweli Ametua na kuingia Kikomandoo Mkoani songwe Usiku Huu. Ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya ziara nzito kwelikweli katika...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba ayakana mabasi ya Esther,asema Hana hata biashara ya Noah

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi. Tumefikishwa pabaya sana. Watu wamejipa haki yao, wamekuwa ndugu zake na Mungu, ni ‘wakweli’, na wengine wote...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

    DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni uapisho wa Waziri Mkuu, lakini sura nyingi zinaonekana zenye huzuni, nini kinawasuta kwenye nafsi zenu?

    Nimefuatilia uapisho huu wa Waziri Mkuu na jambo moja limejionyesha wazi kuliko yote, ni sura za wageni waalikwa, na hata za viongozi waliokuwa karibu naye, hazikuakisi ile furaha ambayo kawaida huambatana na tukio la kihistoria kama hili. Wageni wengi walionekana wakiwa na nyuso zilizokosa...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba Unataka kuvuna mtaji wa Wananchi Maskini kwa Kujifanya na Wewe umetokea Familia Maskini?

    Ndio unaweza kua uliotokea familia maskini lakini wewe sio balozi mzuri wa kuwasemea wananchi maskini. Ukiwa waziri wa fedha wewe ndo ulileta tozo wananchi maskini wakalalamika ukasema wananchi wahamie Burundi...
Back
Top Bottom