kuzitumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Mgambo wa Jiji walikamata Spika zetu, wakasema tunalipe Faini Sh 200,000 kisha tulipe Sh 50,000 kila siku kama tunataka kuzitumia

    Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na kuondoa spika zetu za kutangazia biashara. Hawakunipa maelezo ya kutosha wala hawakutoa hati yoyote ya...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    MODE Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea, ma trillionea na ma multi milionea, multi bilioneo na multi trillionea kwa kutumia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ubongo wa binadamu umegeuzwa na unafanya kazi kwa kanuni kuu mbili tu (High na low), ukijua kuzitumia unatoboa

    Tangu misingi ya ulimwengu kanuni ya kuishi Ulimwenguni haijawahi kubadilika! Ukitaka kufanikiwa lazima kwanza utambue matumizi sahihi ya kanuni kuu 2 za ulimwengu (High na low) Mifumo yote iliyopo ulimwenguni ni lazima iongozwe na kanuni hizo kuu ili kuleta matokeo! UBONGO WA BINADAMU Kwa...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima aitaka jamii kuzitumia huduma za ustawi wa jamii kutatua changamoto mbalimbali

    DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI Na WMJJWM-Mtwara Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameitaka jamii kutambua na kutumia kikamilifu huduma zinazotolewa na wataalamu wa Ustawi wa Jamii...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Sifa zilizofichwa za Android unazopaswa Kuzitumia | Hidden Android features you should be using

    Hakikisha unatumia vidokezo hivi vya Android ili upate mengi zaidi kutoka kwenye kifaa chako. Idadi kubwa ya mbinu na vidokezo vyenye manufaa vilivyofichwa ndani ya vifaa vya Android ni sehemu kubwa ya sababu kwa nini ni baadhi ya simu bora. Kujua hata chache kati yake kutakusaidia kupata zaidi...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Aina ya silaha walizonazo Houthi zinaogopesha na majaribio ya kuzitumia inatoa picha ya azimio lao la vita

    Baada ya jaribio la wiki iliyopita kuteka meli na kuipeleka kwenye maeneo yao kushindwa na kusababisha vifo vya askari 10 wa Houth kumewakasirisha sana wanamgambo hao na serikali ya Iran. Iran imeamua kuingiza meli yake ya kivita katikati ya meli nyengine za kivita zinazojidai kuilinda bahari...
  7. Chivundu

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi kubwa la wamiliki wa Trekta hizi Hybrid kuziuza miezi michache baada ya kuzitumia au kuzikopa

    Tuambiane ukweli, kwanini watu wengi wanaziuza Trekta hizi za kisasa, Mahindra, Swalaj, Tafe, New Holland TT75, miezi michache baada ya kuzitumia? Zamani mtu akinunua trekta tegemea umuone nayo miaka kibao.
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema imeishiwa na wapiganaji. Hata silaha walizopokea kutoka US hakuna wa kuzitumia

    Tanguj vita vianze baina ya Ukraine na Urusi kumekuwepo na lawama kutoka Ukraine kuwa kutofanikiwa kwa zoezi la kurudisha mapigo ya Urusi kikamilifu ni kutokana na kutopatiwa silaha muhimu walizokuwa wakiziomba. Hali sasa imebadilika ambapo afisa mmoja na mshauri wa karibu wa raisi Zelensky wa...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania TRA unahimiza matumizi ya EFD halafu mnawazimia wafanyabiashara kuzitumia kwa Ujumbe 'Device Blocked by TRA'

    Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu. Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku nilipootea begi la hela Bank na kushindwa kuzitumia

    W w w
  11. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Sh. Trilioni 2/- za IMF anaweza kuzitumia wapi?

    Bodi ya Shirika la Fedha Duniain (IMF) hapo jana iliidhinisha mkopo wa dola za Kimarekani Bilioni 1.046 ambazo ni sawa na shiliingi Trilini 2.4/- za kitanzania katika kipindi cha miezi 40 ili kusaidia katika kupambana na athari za viizotokana na vita ya Urusi na Ukraine. Huu mkopo Tanzania...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inakimbilia nyasi bandia wakati nchi zilizoendela zimekataa kuzitumia viwanjani

    Wasalaam, Nimeshangaa kuona kupitia bajeti ya 2021/22 serikaliri inaondoa kodi kwenye nyasi bandia ili kuhamasisha matumizi yake nchini, cha kushangaza sera hii imeungwa mkono na wabunge kama kwamba hawana uelewa wa masuala ya kimataifa ya mpira, hata TFF sikuwasikia wakitia neno wakati wanajua...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Betri za Redio zikiisha Nguvu huwa tunazianika Juani Kisha tutaendelea Kuzitumia je, Betri za Simu zikianza Kupungua Nguvu tunafanyaje?

    Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
  14. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Hizi pesa kwenye akaunti zetu za simu, mtoa huduma anaweza kuzitumia?

    Salamu wakuu! Ni huyu mwanangu mkubwa leo kaniuliza swali hilo, ngoja niliweke vizuri ili tuweze kujadili. Ni hizi akaunti zetu za M-Pesa, TigoPesa, Airtel-Money, HaloPesa, T-Pesa itifaki imezingatiwa.[emoji28] Tunaweka kuhifadhi na kutuma kwenda kwa watu wengine, au kulipia huduma...
Back
Top Bottom