Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako

Esokoni

Member
Aug 1, 2018
81
116
VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo iko katika mfumo wa sms yaan ujumbe mfupi popote ulipo hata kama kuna internet hafifu.

Najua umekuwa ukiona matangazo ya makampuni mbali mbali yakitoa huduma hiyo na inawezekana wewe ni mmoja ya watumiaji au ungependa kujiunga na huduma hii nipo kutimiza hilo.

Sasa naomba tutumie uzi huu kwa wale watumiaji watupe feedback faida na changamoto zake na kwa wale ambao wanahitaji kujiunga na huduma hii uliza maswali kwa Yale ambayo mgependa kujua kabla ya kuchukua uamuzi kisha wasiliana nasi tukupatie huduma hii 0753688348. Lakini pia tuendelee kukumbushana ukiuza Toa risiti na ukinunua Dai risiti maana ikukuta ukiwa upande mmojawapo kati ya muuzaji au mnunuaji Ni balaa na wala usiombe ikukute. Karibu sana.
 

JamiiForums





Toa risiti kidigitali ukiwa na mfumo wa Dirm VFD kwa kutumia simu yako au laptop​

Jump to newWatch
•••

luck_martine

Member​

MAELEZO JUU YA UTOAJI RISITI KIDIGITALI UKIWA NA MFUMO WA DIRM VFD KWA KUTUMIA SIMU YAKO AU LAPTOP YAKO.

DIRM VFD ni Mfumo unaotumia teknolojia ya kisasa inayokuwezesha kutoa risiti halali za
EFD kidigitali Kwa kutumia Simu ya mkononi au kumpyuta*
Sifa za kipekee za DIRM VFD
. Bei ni nafuu zaidi
• Unaweza kutoa risiti popote ulipo
•Kutoa risiti bila kikomo
.Idadi ya watumiaji bila kikomo
.Uwezo wa kutunza taarifa na kanzi data za wateja
. Uwezo wa kutoa risiti nakala ngumu na nakala laini
.Kutuma Z-Report otomatiki
.Uwezo wa kutuma risiti katika vifaa vingine
.Uwezo wa kusitisha risiti zenye makosa
. Usalama ni wa hali ya juu
•Inaendana na matakwa ya sheria za kodi kwenye Z-Report na VAT

MAHITAJI MUHIMU ILI KUUNGANISHWA
KUTUMIA DIRM VFD:
  • Cheti Cha TIN
  • Kitambulisho Cha Taifa NIDA au Cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.
Pia Unaweza kupiga simu namba 0612885532 au WhatsApp no 0711697881 Pia kufika ofisini kwetu (THREE BROTHERS ASSOCIATES )tunapatikana Masasi St, Kariakoo Pia unaweza kutupigia tunawafata wateja wetu popote walipo ndani ya Dar es salaam ata wa mikoani msisite kutupigia karibuni nyote gharama ni nafuhu sana

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Smart911

[IMG alt="Esokoni"]https://secure.gravatar.com/avatar/54d6b8fb0ec104dc70e9fa4511d0ef3b?s=96[/IMG]

Esokoni

Member​

Thread 'Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako' Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako

Thanks Quote Reply
Report

Smart911

JF-Expert Member​

Ahsante kwa taarifa...

Thanks Quote Reply
Report

BoldItalicMore options…

Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview

Font sizeText colorFont familyListAlignment
  • Align left
  • Align center
  • Align right
  • Justify text
Paragraph formatStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
SmiliesQuoteInsert videoMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts

Write your reply...
Post reply

Attach files Insert quotes…

Similar Discussions​

Share
1 Reactions
Reply
 

Attachments

  • 1688800168160.gif
    1688800168160.gif
    42 bytes · Views: 9
  • 1688800168434.png
    1688800168434.png
    346 bytes · Views: 7
Back
Top Bottom